xJamaax
February 13th, 2011, 04:35 PM
swahili thread.;)
|
View Full Version : Jukwa la Kiswahili xJamaax February 13th, 2011, 04:35 PM swahili thread.;) Kisumu Ndogo February 24th, 2011, 11:25 PM Waganda mpoo, Kiswahili chenu kiwapi!. xJamaax February 27th, 2011, 01:45 AM Najua waganda wengi huongea kiganda badala ya Kiswahili.Kuna wengine wanaongea kama wakenya:) Naijaborn February 27th, 2011, 09:02 AM Swahili in the Ugandan forum?? Hope this works... Good-Luck.! Kenguy February 27th, 2011, 09:33 AM Swahili in the Ugandan forum?? Hope this works... Good-Luck.! Maybe if we get forumers from the Eastern or far Western regions or the armed forces. :) English is Uganda's national language IMO and to a lesser extent Luganda. xJamaax March 19th, 2011, 01:59 AM Maybe if we get forumers from the Eastern or far Western regions or the armed forces. :) English is Uganda's national language IMO and to a lesser extent Luganda. Nilipatana na mganda mwingine ambaye anazungumza kiswahili vizuri sana!Nilishangaa kwa sababu sijawahi kupatana na yeyote anayeongea Kiswahili.Huwa napatana sana na wanaongea Kiganda:) xJamaax April 16th, 2011, 06:00 PM Swahili in the Ugandan forum?? Hope this works... Good-Luck.! There are Uganda forumers who are very fluent especially those in the North.The problem is that we don't have many active Ugandan forumers Makelele April 25th, 2011, 03:25 AM I agree with xjamaax swahili is a good second language to keep our unity in east africa as a tool for trade and strengthening our economy. Ehiopians have their own Amhara, likewise we can broadenthe spread of swhaili thorugh out the continent. Can you imagine if the whole of Africa was united with a universal language. xJamaax April 30th, 2011, 08:49 PM I agree with xjamaax swahili is a good second language to keep our unity in east africa as a tool for trade and strengthening our economy. Ehiopians have their own Amhara, likewise we can broadenthe spread of swhaili thorugh out the continent. Can you imagine if the whole of Africa was united with a universal language. I second that mzee!Ingekuwa poa kama Kenya na nchi zengine zingeweza kuachana na hizi lugha za wakoloni na kuboresha lugha moja kwa taifa nzima.:cheers: chamoto May 12th, 2011, 04:23 AM I second that mzee!Ingekuwa poa kama Kenya na nchi zengine zingeweza kuachana na hizi lugha za wakoloni na kuboresha lugha moja kwa taifa nzima.:cheers: Nimeipenda hii ndugu Kisumu Ndogo June 15th, 2011, 05:11 AM I second that mzee!Ingekuwa poa kama Kenya na nchi zengine zingeweza kuachana na hizi lugha za wakoloni na kuboresha lugha moja kwa taifa nzima.:cheers: Kuepuka Kiengereza hakitakuwa kazi rahisi kwa sababu za kibiashara, mawasiliano na Kijiji-Ulimwengu cha sasa. Almuradi kama bado mataifa ya Marikani na Europa magharibi(Hususan Uingereza) yakiendelea kuongoza duniani kiuchumi sioni haya mataifa madogo kama yetu ya Afrika mashariki kama yataepuka ukoloni huu wa lugha. xJamaax July 25th, 2011, 09:05 PM Kuepuka Kiengereza hakitakuwa kazi rahisi kwa sababu za kibiashara, mawasiliano na Kijiji-Ulimwengu cha sasa. Almuradi kama bado mataifa ya Marikani na Europa magharibi(Hususan Uingereza) yakiendelea kuongoza duniani kiuchumi sioni haya mataifa madogo kama yetu ya Afrika mashariki kama yataepuka ukoloni huu wa lugha.Lakini nchi zingine zinaendelea vizuri bila kutumia kingereza,kwa nini? Kisumu Ndogo July 26th, 2011, 06:15 AM Lakini nchi zingine zinaendelea vizuri bila kutumia kingereza,kwa nini? Ni kweli mf. Uchina na Ujapani n.k, mataifa ambayo yamkini yameweza kuhifadhi nyendo, ustaarabu na mila zao hata kufikia kiwango cha kuenda kidete yakilinganishwa na yale ya watani wao mataifa ya Europa magharibi(Wakoloni wa wahti huo). Sie shida yetu ni kuwa wakoloni hawa walituachia (-) effects(kama: Utumwa, Uwiizi wa mashamba, Ajira ya kulazimu na ubaguzi wa rangi na jinsia..) maana waliyavuruga kabisa nyendo na dhana za babu na bibi zetu; wazao wetu enzi hizo za zama na kuwalazimu kuyaiga mambo yao japo shingo upande. Ukiangalia katika historia dini kama ya Budhaa kutoka Asia iliitangulia dini kama ya Ukristo na Uislamu na hata distant trade ilikuwa imeimarika sana katika Asia wakati huo. Taifa kama la China katika karne kabla ya 1800 ndio ilikuwa taifa ambalo lilikuwa limeimarika kimaendeleo hata kuyashinda mataifa ya West. Sisi mataifa yetu bado ni machanga, ndo sababu hatuna budi kuyaaiga mienendo ya wenza wetu wa Europa. Kwa ufupi twaweza tu kuendelea kama tutayachukua mema yao na yetu mazuri na kuyaimarisha vipasavyo. xJamaax July 27th, 2011, 02:19 AM Ni kweli mf. Uchina na Ujapani n.k, mataifa ambayo yamkini yameweza kuhifadhi nyendo, ustaarabu na mila zao hata kufikia kiwango cha kuenda kidete yakilinganishwa na yale ya watani wao mataifa ya Europa magharibi(Wakoloni wa wahti huo). Sie shida yetu ni kuwa wakoloni hawa walituachia (-) effects(kama: Utumwa, Uwiizi wa mashamba, Ajira ya kulazimu na ubaguzi wa rangi na jinsia..) maana waliyavuruga kabisa nyendo na dhana za babu na bibi zetu; wazao wetu enzi hizo za zama na kuwalazimu kuyaiga mambo yao japo shingo upande. Ukiangalia katika historia dini kama ya Budhaa kutoka Asia iliitangulia dini kama ya Ukristo na Uislamu na hata distant trade ilikuwa imeimarika sana katika Asia wakati huo. Taifa kama la China katika karne kabla ya 1800 ndio ilikuwa taifa ambalo lilikuwa limeimarika kimaendeleo hata kuyashinda mataifa ya West. Sisi mataifa yetu bado ni machanga, ndo sababu hatuna budi kuyaaiga mienendo ya wenza wetu wa Europa. Kwa ufupi twaweza tu kuendelea kama tutayachukua mema yao na yetu mazuri na kuyaimarisha vipasavyo. Inakaa umefahamu nilichosema hapo awali vizuri.:okay: bantugbro July 27th, 2011, 02:21 PM Yaani mpaka sasa hakuna hata mwanajamvi mmoja wa Uganda aliyejitokeza.. Where is u.g boy???? Kisumu Ndogo November 28th, 2011, 11:52 PM Yaani mpaka sasa hakuna hata mwanajamvi mmoja wa Uganda aliyejitokeza.. Where is u.g boy???? Jukwaa(Swahili) lipo chini kwa sasa lakini twataraji mema nyakati za usoni. Akina Buganda na Sseki2010 na wengineo lakini u.g boy kajikakamua kweli ukumbini kwa kijumla.^^ sanity2 April 8th, 2013, 09:04 PM lol i used to have Kenya friends at budo,, lots of Kenyans used to come over; i do not know if that's still the case. |