daily menu » rate the banner | guess the city | one on oneforums map | privacy policy | DMCA | news magazine | posting guidelines

Go Back   SkyscraperCity > Continental Forums > Africa > East Africa > Tanzania > Projects and Construction Updates > Dar es SalaamGlobal Announcement

As a general reminder, please respect others and respect copyrights. Go here to familiarize yourself with our posting policy.

Reply

Thread Tools
Old August 13th, 2012, 12:10 PM   #141
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

KAGERA STATION

kiligoland no está en línea   Reply With Quote

Sponsored Links
Old August 16th, 2012, 12:39 PM   #142
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

progress
http://machellah.blogspot.com/2012/0...-yaendayo.html

kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old August 16th, 2012, 02:24 PM   #143
bantugbro
Olduvai Gorge
 
bantugbro's Avatar
 
Join Date: Feb 2011
Posts: 2,867
Likes (Received): 600

mipicha ya kufa mtu, safi sana...
__________________
"...your behind-the-keyboard insinuations will get good people banned for trivial reasons, please don't start with me..."
bantugbro no está en línea   Reply With Quote
Old August 16th, 2012, 02:52 PM   #144
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

Quote:
Originally Posted by bantugbro View Post
mipicha ya kufa mtu, safi sana...
, Ila sijui nimezidisha ile minyororo balaa (foleni), nadhani ni al hasan mwinyi road
kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old August 17th, 2012, 01:04 PM   #145
bantugbro
Olduvai Gorge
 
bantugbro's Avatar
 
Join Date: Feb 2011
Posts: 2,867
Likes (Received): 600

Quote:
Originally Posted by kiligoland View Post
, Ila sijui nimezidisha ile minyororo balaa (foleni), nadhani ni al hasan mwinyi road
Mwinyi ile.... alafu michuma mingi ni 4x4....
__________________
"...your behind-the-keyboard insinuations will get good people banned for trivial reasons, please don't start with me..."
bantugbro no está en línea   Reply With Quote
Old August 18th, 2012, 06:22 AM   #146
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

http://www.wavuti.com/4/post/2012/08...s-salaam.html( Rundugai blog)

kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old August 18th, 2012, 06:37 AM   #147
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

wakuu pateni picha baada ya hilo vumbi kuwa lami na alama za barabarani zimezingatiwa , nakumbuka mkuu bantugbro alisema hya hapa
Quote:
Originally Posted by bantugbro View Post
Mnaona mchoro huo...hapo panapoonekana papana sana ni section ya Fire-Migomigo.
Kimara-Migo zitakuwa lane 6
, Migomigo -Morocco lane 6, Migo-Fire patakuwa na lane 8, Fire-Kariakoo, Fire-Bibititi lane 6, BibititI-Kivukoni lane 4. Ngoja sasa tuone Mjerumani atatupendesheaje kule maeneo ya baharini.
kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old August 18th, 2012, 07:43 AM   #148
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204Basi wadau leo asubuhi katika pita pita zangu mitaa ya jinan uchina, nimeona kituo hiki na kinafanana kabisa na kama kitaklavyokua chetu hapo juu, nilifanya uchunguzi kidogo na mambo yalIkikua hivi

hizi ndio BRT lanes zenyewe, wao wamezungushia kafence kidogo na ni BRT only nimeangalia hata mabasi mengine ambayo ni daladala zao hayapiti hapa yanapita pemebeni

hapa ni kituoni, ndio yanaposimama kushusha na kupakia angalia hapo mlangoni ndio unapogongesha kadi yako au unatumbukiza vijisenti vyako, ukiangalia vizuri utaona nauli ni yuan 1 (1 RMB) ambayo itakua kama 200 na kitu ya kibongo, aka dafu na huyo mwanadada ndio kashagongesha hapo anaelekea kusubiri basi lije, na hapo unamuona msimamizi kituoni ka ajili ya maulizo mbalimbaliMara basi hilo linakuja

LISHAFIKA KITUONI
LIKALA KONA

Last edited by kiligoland; August 18th, 2012 at 07:56 AM.
kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old August 18th, 2012, 09:16 AM   #149
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

MANZESE DARAJANI

http://rundugai.blogspot.com/2012/07...-darajani.html
kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old August 20th, 2012, 11:18 PM   #150
LADEN
Solid As A Rock
 
LADEN's Avatar
 
Join Date: Mar 2011
Location: Scarborough
Posts: 5,993
Likes (Received): 981

Wow such a critical project. I wish they did all phases at the same time.
__________________
Cole World, Real Cole World
LADEN no está en línea   Reply With Quote
Old August 21st, 2012, 03:29 AM   #151
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

Quote:
Originally Posted by LADEN View Post
Wow such a critical project. I wish they did all phases at the same time.
same here
kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old August 24th, 2012, 12:27 PM   #152
Tanzanidaima
Who is real, who is not.!
 
Tanzanidaima's Avatar
 
Join Date: Oct 2011
Posts: 33
Likes (Received): 7

http://www.youtube.com/watch?v=ZMDLv...layer_embedded
Tanzanidaima no está en línea   Reply With Quote
Old August 24th, 2012, 12:34 PM   #153
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

Quote:
Originally Posted by Tanzanidaima View Post
, mithupu bwana, sikilizeni hiyo midundo yake

kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old August 24th, 2012, 04:17 PM   #154
jpet
Mtumishi
 
Join Date: Aug 2011
Location: Dar es salaam
Posts: 96
Likes (Received): 21

Ndugu zangu wadau wa maendeleo ya jiji letu, nimefurahishwa na mradi wa mabasi yaendayo kasi jinsi unavyoendelea. Hivi pia ninapenda kuuliza kuhusu mradi wa ujenzi wa Flyingovers (barabara za juu) kama alivyosema waziri wa ujenzi ndugu Magufuli, Je! kuna yeyote ambaye ameona plani ya jinsi walivyo zi design? Tanzan, Kiligoland na wadau wengine naomba kujua hilo.
jpet no está en línea   Reply With Quote
Old August 24th, 2012, 10:02 PM   #155
tanzan
Serengeti
 
tanzan's Avatar
 
Join Date: Apr 2010
Location: Dar es Salaam
Posts: 3,978
Likes (Received): 1824

Quote:
Originally Posted by jpet View Post
Ndugu zangu wadau wa maendeleo ya jiji letu, nimefurahishwa na mradi wa mabasi yaendayo kasi jinsi unavyoendelea. Hivi pia ninapenda kuuliza kuhusu mradi wa ujenzi wa Flyingovers (barabara za juu) kama alivyosema waziri wa ujenzi ndugu Magufuli, Je! kuna yeyote ambaye ameona plani ya jinsi walivyo zi design? Tanzan, Kiligoland na wadau wengine naomba kujua hilo.
Kuna picha Mh.Magufuli anaonekana akionyesha design ya flyover kwenye infrastructure thread.
__________________
TANZANIA
Best Safari Country of Africa
tanzan no está en línea   Reply With Quote
Old August 25th, 2012, 03:46 AM   #156
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

Quote:
Originally Posted by jpet View Post
Ndugu zangu wadau wa maendeleo ya jiji letu, nimefurahishwa na mradi wa mabasi yaendayo kasi jinsi unavyoendelea. Hivi pia ninapenda kuuliza kuhusu mradi wa ujenzi wa Flyingovers (barabara za juu) kama alivyosema waziri wa ujenzi ndugu Magufuli, Je! kuna yeyote ambaye ameona plani ya jinsi walivyo zi design? Tanzan, Kiligoland na wadau wengine naomba kujua hilo.

Check hii hapa mkuu

kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old August 27th, 2012, 09:02 AM   #157
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

JANGWANI

kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old September 4th, 2012, 08:33 AM   #158
Dar2015
Registered User
 
Join Date: Sep 2012
Posts: 24
Likes (Received): 7

Delay on Dar es Salaam BRT Project

On the whole Morogoro Road. Strabag can not perform anymore because Tanroads and the relevant Consulting SMEC dont issue any design to them.

The stop in this section will cost a lot of additional money to the Government only because the relevant designers and authorities not doing there job well. Strabag wants to finish the Inner City in good maner and quality in a short period and have the facilities and equipments to do so.

Its really a shame that the design delays will cause a lot of problems for the Public and the people who are living around
Dar2015 no está en línea   Reply With Quote
Old September 7th, 2012, 08:16 AM   #159
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

UPDATES , UBUNGO AREAS

http://www.issamichuzi.blogspot.com/...ya-mabasi.htmlkiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old September 14th, 2012, 06:10 AM   #160
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,421
Likes (Received): 12204

kiligoland no está en línea   Reply With Quote

Reply

Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off

Related topics on SkyscraperCity

All times are GMT +2. The time now is 07:23 AM.

Powered by vBulletin® Version 3.8.11 Beta 4
Copyright ©2000 - 2017, vBulletin Solutions Inc.
Feedback Buttons provided by Advanced Post Thanks / Like (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2017 DragonByte Technologies Ltd.

vBulletin Optimisation provided by vB Optimise (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2017 DragonByte Technologies Ltd.

SkyscraperCity ☆ In Urbanity We trust ☆ about us | privacy policy | DMCA policy

Hosted by Blacksun, dedicated to this site too!
Forum server management by DaiTengu