search the site
 daily menu » rate the banner | guess the city | one on oneforums map | privacy policy | DMCA | news magazine | posting guidelines

Go Back   SkyscraperCity > Continental Forums > Africa > East Africa > Tanzania > Projects and Construction Updates > Dar es SalaamGlobal Announcement

As a general reminder, please respect others and respect copyrights. Go here to familiarize yourself with our posting policy.


Reply

 
Thread Tools
Old September 8th, 2017, 10:12 PM   #141
Overland
Registered User
 
Overland's Avatar
 
Join Date: Oct 2013
Location: Boksburg
Posts: 833
Likes (Received): 630

Quote:
Originally Posted by babuuz View Post
Hebu tuangalie kwa jicho la tatu, assume imekamilika salama kama ionekanavyo pichani, vipi kuhusu junction za external, tabata, buguruni!?, vipi kuhusu mliamani city, mwenge!? , je kuhusu shekilango, manzese, magomeni!?? , kuna hii foleni ya kimara mpaka mbezi inasababishwa na daladala, matuta, watembea kwa miguu na wavukaji, Biashara za karibu na barabara, kama hawatashughulikia maeneo haya ni dhahiri tutakutana na tusiyoyataraji
Maswali mengine yatajibiwa na BRT za barabara husika, but
Pale Tabata, nijuavyo ni kuwa ile barabara ya kutokea Segerea/Tabata itanyooka pale kwenye kona baada ya Dar West(siikumbuki kuna hospital) hiyo itanyooka na kuja kuunga na hii ya matumbi kupitia kigogo hadi Msimbazi na kuongezwa stretch kushoto kushuka kwenda Buguruni.

Zinazokwenda Ubungo zitabakia na rami ya sasa.

External wanaweza kungojea Mataa
__________________
ROCK CITY NDO HOME
Overland no está en línea   Reply With Quote

Sponsored Links
Old September 11th, 2017, 11:18 AM   #142
Abby Msangi
Registered User
 
Abby Msangi's Avatar
 
Join Date: Aug 2015
Location: Dar-Es-Salaam
Posts: 46
Likes (Received): 37

Quote:
Originally Posted by eddie305 View Post
Dah huu mchoro pia maengineer hawajautendea haki kwakweli
What Happend To The Fist Render au ndo Kubana Budget? Ila Bora ya Huu Kuliko Tazara. Maana Tazara ni ipo Moja tu naona Hii ni Double.
Abby Msangi no está en línea   Reply With Quote
Old September 15th, 2017, 11:40 AM   #143
tanganyikan kid
Registered User
 
tanganyikan kid's Avatar
 
Join Date: Jul 2014
Location: Approaching KEPLER 452B
Posts: 690
Likes (Received): 646

__________________
"Jesus died at age 33, there's thirty-three shots
from twin glocks there's sixteen apiece, that's thirty-two
Which means, one of my guns was holdin 17
Twenty-seven hit your crew, six went into you"

BenjaminEli, eddie305 liked this post
tanganyikan kid no está en línea   Reply With Quote
Old September 15th, 2017, 10:59 PM   #144
Tamu juice
Registered User
 
Join Date: May 2013
Location: Dar
Posts: 22
Likes (Received): 26

HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania

Waliopisha barabara ya juu Ubungo wazoa bilioni 2/-
IMEANDIKWA NA MATERN KAYERA IMECHAPISHWA: 09 SEPTEMBA 2017

JUMLA ya Sh bilioni 1.985 zimetumika mpaka sasa, kuwalipa fi dia wananchi walioathiriwa na shughuli za ujenzi wa barabara za juu kwenye makutano ya barabara za Morogoro, Mandela na Sam Nujoma, eneo la Ubungo Mataa jijini Dar es Salaam.

Utaratibu wa ulipaji fidia hiyo bado unaendelea, ambapo jumla ya wananchi 110 walioathiriwa na ujenzi wa mradi huo watalipwa fidia zao. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroads), Patrick Mfugale, mkandarasi ambaye ni Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) ameanza shughuli za ujenzi kwa kuainisha miundombinu ya huduma nyingine iliyoko chini ya ardhi ambayo itaathiri ujenzi wa barabara hizo.

Mfugale aliiambia Habari- Leo jana kuwa miundombinu ambayo iko chini ya ardhi ni mabomba ya maji, mabomba ya gesi, nyaya za umeme pamoja na nyaya za simu na mawasiliano mengine. Alisema kazi hiyo imemalizika na sasa utaratibu wa kuihamisha miundombinu hiyo inaendelea. “Daraja (interchange) la Ubungo litakuwa na ngazi mbili. Ngazi ya kwanza kwa ajili ya magari yatokayo Kimara kwenda mjini kupitia Barabara ya Morogoro na ngazi ya pili kwa ajili ya magari yatokayo Mwenge kuelekea Buguruni.

Barabara za chini zitabaki kwa magari yanayopinda kulia kutokea pande zote nne yaani Kimara, Mwenge, Buguruni na Manzese au mjini,” alieleza Mfugale. Aidha imeelezwa kuwa mradi huo utapunguza foleni kwa asilimia 100 kwa magari yatakayopita barabara ya Mwenge kuelekea Buguruni na yale yatakayopita barabara ya Kimara kuelekea mjini kwa kuwa hayatasubiri kwenye foleni kama ilivyo sasa, lakini kwa magari yanayopinda kulia foleni itapungua kwa asilimia 75.

Kuhusu uwezo wa barabara hizo, Mkurugenzi huyo Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini alisema kuwa barabara hizo zitakazokuwa na urefu wa kilomita mbili, zina uwezo wa kubeba magari yote ilimradi hayazidishi uzito ulioruhusiwa kwa kila ekseli. Mfugale alisema uzito ulioruhusiwa kisheria ni tani 56. Mradi huo ambao utakaogharimu Sh bilioni 177 unatarajiwa kukamilika mwaka 2019 na utakuwa na faida nyingi ikiwemo kupungua kwa muda wa safari na hivyo kuongeza muda wa wananchi katika kuinua uchumi.
__________________
Tamu juice no está en línea   Reply With Quote
Old September 16th, 2017, 05:06 PM   #145
FRANCIS DA DON
Registered User
 
Join Date: Nov 2014
Posts: 87
Likes (Received): 13

Quote:
Originally Posted by Overland View Post
Maswali mengine yatajibiwa na BRT za barabara husika, but
Pale Tabata, nijuavyo ni kuwa ile barabara ya kutokea Segerea/Tabata itanyooka pale kwenye kona baada ya Dar West(siikumbuki kuna hospital) hiyo itanyooka na kuja kuunga na hii ya matumbi kupitia kigogo hadi Msimbazi na kuongezwa stretch kushoto kushuka kwenda Buguruni.

Zinazokwenda Ubungo zitabakia na rami ya sasa.

External wanaweza kungojea Mataa
Aisee wakipasua kale kaeneo ili barabara inyooke itakuwa poa sana! Kale kakona ni chanzo kikuu cha foleni, gari zinachelewa kuchanganya na kutengeneza foleni.
FRANCIS DA DON no está en línea   Reply With Quote
Old September 19th, 2017, 08:04 AM   #146
Malick Abrahams Jr.
Registered User
 
Join Date: Sep 2017
Posts: 2
Likes (Received): 10Up close and clear.
A few minor changes might still occur to the design though.
According to the The Korean Consultants of this project.
__________________
Malick Abrahams Jr. no está en línea   Reply With Quote
Old September 20th, 2017, 06:50 PM   #147
Overland
Registered User
 
Overland's Avatar
 
Join Date: Oct 2013
Location: Boksburg
Posts: 833
Likes (Received): 630

The interchange will beautify this place and look welcoming
__________________
ROCK CITY NDO HOME

bantugbro, Abby Msangi liked this post
Overland no está en línea   Reply With Quote


Reply

Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off

Related topics on SkyscraperCity


All times are GMT +2. The time now is 11:27 AM.


Powered by vBulletin® Version 3.8.11 Beta 4
Copyright ©2000 - 2017, vBulletin Solutions Inc.
Feedback Buttons provided by Advanced Post Thanks / Like (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2017 DragonByte Technologies Ltd.

vBulletin Optimisation provided by vB Optimise (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2017 DragonByte Technologies Ltd.

SkyscraperCity ☆ In Urbanity We trust ☆ about us | privacy policy | DMCA policy

Hosted by Blacksun, dedicated to this site too!
Forum server management by DaiTengu