daily menu » rate the banner | guess the city | one on oneforums map | privacy policy (aug.2, 2013) | DMCA policy | flipboard magazine
Old October 19th, 2017, 10:38 AM   #361
MikaushoMikali
Mikausho Mikali
 
Join Date: Dec 2011
Posts: 85
Likes (Received): 49

Sijui kama kuna watu wa ATCL humu .Najiuliza kama wana mpango wa kuwa na vi short haul jetliners kama Bombardier CRJ900 , Bombardier CS100,Embraer E190.Naona airports nyingi sasa zinawekewa lami na Fastjet akiamua kumfata ATCL katika hizo njia italeta shida kidogo.Watu wanapenda spidi na kufika haraka ndo mana ATR hazina chake kwa sasa na washukuru ATCL hawajarudi IATA/ICAO
MikaushoMikali no está en línea   Reply With Quote
Old October 28th, 2017, 07:38 AM   #362
Tamu juice
Registered User
 
Join Date: May 2013
Location: Dar
Posts: 35
Likes (Received): 32

Bombardier 3 imefanyiwa flight testing siku mbili mfululizo tarehe 26 na 27 huenda ikawa iko njiani kuja.
__________________

kiligoland, BenjaminEli, eddie305 liked this post
Tamu juice no está en línea   Reply With Quote
Old October 29th, 2017, 01:46 PM   #363
tanzan
Serengeti
 
tanzan's Avatar
 
Join Date: Apr 2010
Location: Dar es Salaam
Posts: 3,979
Likes (Received): 1824

Quote:
Originally Posted by Tamu juice View Post
Bombardier 3 imefanyiwa flight testing siku mbili mfululizo tarehe 26 na 27 huenda ikawa iko njiani kuja.
Bado delivery flight. Flight testing ni hapo hapo Toronto. Ukiona imeondoka Toronto kwenda Goose Bay (3 hr flight) ujue ipo njiani kuja.

Baada ya Goose Bay itakwenda Reykjavik Airport (Iceland) halafu Malta au airport nyingine Europe halafu pengine Aswan Airport halafu Bongo.

Hizi flight testing ni alama nzuri si mda mrefu itakuja.
__________________
TANZANIA
Best Safari Country of Africa
tanzan no está en línea   Reply With Quote
Old October 30th, 2017, 11:19 AM   #364
MikaushoMikali
Mikausho Mikali
 
Join Date: Dec 2011
Posts: 85
Likes (Received): 49

Saa hii itapendeza tukiifuata na marubani wetu hukohuko,Inakaguliwa na kupewa registration wanasema itakuwa ni TCE.Nadhani tuna marubani wa kutosha sasa
MikaushoMikali no está en línea   Reply With Quote
Old November 6th, 2017, 08:12 AM   #365
eddie305
EastAfRica
 
eddie305's Avatar
 
Join Date: Apr 2013
Location: Arusha/Dar/Nairobi
Posts: 491
Likes (Received): 821

#TC|Air Tanzania Official Thread

UPDATESSerikali imesema kwamba ndege yake mpya aina ya Bombardier Q400 ambayo imeinunua nchini Canada inataraijiwa kuwasili nchini mwakani ambapo kwa sasa inafanyiwa vipimo kadhaa ikiwamo ukaguzi na baada ya kukamilika italetwa.

Aidha, serikali imewaeleza watanzania kuwa, ifikapo Julai 2018, ndege zote mpya nne ambazo imenunua zitakuwa zimewasili nchini. Ndege 3 zinatarajiwa kuwasili mwezi Juni 2018 huku ndege moja yenye uwezo wa kubeba abiria 262 ikitarajiwa kutua nchi mwezi Julai 2018 na kukamilisha jumla ya ndege 6 zilizonunuliwa.

Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbasi waati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu miaka miwili ya utawala wa Rais Magufuli ulioingia madarakani Novemba 5, 2015.

Abbasi alilazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya kuulizwa swali na mwandishi wa habari kuhusu kuwepo kwa madai ya ndege hiyo ya serikali iliyotarajiwa kuwasili Julai mwaka huu, kushikiliwa na wadeni wa serikali nchini Canada.

“…kufikia mwakani (2018) ndege zote za awamu hii tulizoziagiza zitakuja nchini na ndege hiyo uliyoitaja itakuja nchini, iko katika majaribio si kama baiskeli unaweza kufunga tairi na kuanza kutumia. Ile kubwa Boeing 787 yenye uwezo wa kubeba abiria 262 itakuwa imewasili ifikapo Julai mwakani,” alisema Dk Abbasi.

Huko nyuma serikali iliwahi kukanusha madai yaliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa ndege ya Bombardier Q400 imekamatwa na inaweza kupigwa mnada kufuatia deni inayodaiwa na kampuni ya Stirling Civil Engineering Ltd ya Montreal, Canada.

Lissu alisema kuwa serikali ilivunja mkataba wa ujenzi wa Barabara ya Wazo Hill – Bagamoyo kati yake na kampuni hiyo ambapo kampuni ilikwenda katika Mahakama ya kimataifa, ikipinga kuvunjiwa mkataba ikitaka kulipwa fidia ya Dola 38 milioni za Marekani, (Sh87 bilioni).
__________________
Most people do not listen with the intent to understand. Most people listen with the intent to reply.” – Stephen R. Covey

Umoja liked this post

Last edited by eddie305; November 6th, 2017 at 08:29 AM.
eddie305 no está en línea   Reply With Quote
Old November 6th, 2017, 01:10 PM   #366
MikaushoMikali
Mikausho Mikali
 
Join Date: Dec 2011
Posts: 85
Likes (Received): 49

Kuwa na ndege moja ya trans continental flights sio kitu sustainable kabisa.Zinapaswa ziwepo angalau mbili.I hope pia ATCL wamejiandaa na suala la crew inayotakiwa.Kutokana na mashirika ya ndege kutokuwa vizuri hapo nyuma kuna gap sasa la marubani kwani wengi ni majunior na wengine ndo hao wamezeeka kv.cpt Ngandile,Cpt Mwinjuma na wanaoelekea huko kama Cpt Ibanda ,Cpt Shaid...Mana yangu hakuna rika la kati la marubani na B787 moja inataka atleast marubani 64.Ningekuwa na mamlaka nisingenunua B787 kwanza tungejiimarisha level ya kibara mpaka arabuni na India.nisingenunua B787 na badala yake ningeopt kwa CS300 nyingine tatu kwanza.kwenye 2020 mpaka 2022 ndo tungeanza kupambana mpaka marekani
MikaushoMikali no está en línea   Reply With Quote
Old November 7th, 2017, 11:19 AM   #367
Umoja
Registered User
 
Join Date: Apr 2015
Location: Kinshasa
Posts: 3,789
Likes (Received): 3099

Tanzania challenges seizure of aircraft in Canada over debt

DAR ES SALAAM, Nov 6 (Reuters) - Tanzania is mounting a legal challenge against a construction firm’s seizure of one of the country’s new commercial planes in Canada as compensation for a disputed contract, President John Magufuli said on Monday.

A Canadian construction firm, Stirling Civil Engineering Ltd, seized the newly manufactured Q400 turbo-prop plane in Canada earlier this year over a $38 million lawsuit before it could be delivered by Bombardier Inc to the Tanzanian government.

http://www.reuters.com/article/tanza...-idUSL3N1NC5MI
Umoja no está en línea   Reply With Quote
Old November 7th, 2017, 11:27 AM   #368
eddie305
EastAfRica
 
eddie305's Avatar
 
Join Date: Apr 2013
Location: Arusha/Dar/Nairobi
Posts: 491
Likes (Received): 821

Quote:
Originally Posted by MikaushoMikali View Post
Kuwa na ndege moja ya trans continental flights sio kitu sustainable kabisa.Zinapaswa ziwepo angalau mbili.I hope pia ATCL wamejiandaa na suala la crew inayotakiwa.Kutokana na mashirika ya ndege kutokuwa vizuri hapo nyuma kuna gap sasa la marubani kwani wengi ni majunior na wengine ndo hao wamezeeka kv.cpt Ngandile,Cpt Mwinjuma na wanaoelekea huko kama Cpt Ibanda ,Cpt Shaid...Mana yangu hakuna rika la kati la marubani na B787 moja inataka atleast marubani 64.Ningekuwa na mamlaka nisingenunua B787 kwanza tungejiimarisha level ya kibara mpaka arabuni na India.nisingenunua B787 na badala yake ningeopt kwa CS300 nyingine tatu kwanza.kwenye 2020 mpaka 2022 ndo tungeanza kupambana mpaka marekani

Nadhani kuna feasibility study ilifanywa na ikaandaliwa na serikali na ATCL nao wakaandaa Business plan na sio kwamba wamekurupuka tu kununua hiyo ndege kubwa. Acha tusubiri tuone
__________________
Most people do not listen with the intent to understand. Most people listen with the intent to reply.” – Stephen R. Covey
eddie305 no está en línea   Reply With Quote
Old November 9th, 2017, 01:38 PM   #369
eddie305
EastAfRica
 
eddie305's Avatar
 
Join Date: Apr 2013
Location: Arusha/Dar/Nairobi
Posts: 491
Likes (Received): 821

Quote:
Originally Posted by MikaushoMikali View Post
Kuwa na ndege moja ya trans continental flights sio kitu sustainable kabisa.Zinapaswa ziwepo angalau mbili.I hope pia ATCL wamejiandaa na suala la crew inayotakiwa.Kutokana na mashirika ya ndege kutokuwa vizuri hapo nyuma kuna gap sasa la marubani kwani wengi ni majunior na wengine ndo hao wamezeeka kv.cpt Ngandile,Cpt Mwinjuma na wanaoelekea huko kama Cpt Ibanda ,Cpt Shaid...Mana yangu hakuna rika la kati la marubani na B787 moja inataka atleast marubani 64.Ningekuwa na mamlaka nisingenunua B787 kwanza tungejiimarisha level ya kibara mpaka arabuni na India.nisingenunua B787 na badala yake ningeopt kwa CS300 nyingine tatu kwanza.kwenye 2020 mpaka 2022 ndo tungeanza kupambana mpaka marekani

__________________
Most people do not listen with the intent to understand. Most people listen with the intent to reply.” – Stephen R. Covey

Umoja, tanganyikan kid liked this post
eddie305 no está en línea   Reply With Quote
Old November 16th, 2017, 10:25 AM   #370
Umoja
Registered User
 
Join Date: Apr 2015
Location: Kinshasa
Posts: 3,789
Likes (Received): 3099

Tanzanian president asks Trudeau for Bombardier plane back after it's seized by court

British construction company says Tanzanian government owes it millions of dollars for canceled road project, so asked Quebec court to hold plane
A marooned Bombardier airliner is at the centre of a strange international dispute that has prompted a direct appeal to Prime Minister Justin Trudeau from Tanzania’s president, and highlighted growing human-rights issues in the east African nation.

The Q400 turboprop, bought by Tanzania but not delivered, was recently ordered impounded by a Quebec Superior Court judge at the request of a British construction company that claims the country owes it millions of dollars.

Meanwhile, the opposition politician who first exposed the airplane’s seizure — and was briefly arrested for embarrassing the government over the affair — is recovering from an assassination attempt, fuelling fears of creeping authoritarianism in Tanzania.

President John Magufuli defiantly promised last week to get the plane back, saying he had written a letter about it to Trudeau, and dispatched a senior cabinet minister to Canada to press Tanzania’s case.

...

http://nationalpost.com/news/tanzani...eized-by-court
Umoja no está en línea   Reply With Quote
Old November 17th, 2017, 11:00 PM   #371
Umoja
Registered User
 
Join Date: Apr 2015
Location: Kinshasa
Posts: 3,789
Likes (Received): 3099

Umoja no está en línea   Reply With Quote
Old January 2nd, 2018, 06:52 AM   #372
MikaushoMikali
Mikausho Mikali
 
Join Date: Dec 2011
Posts: 85
Likes (Received): 49

https://www.youtube.com/watch?v=85E8l9_Vi-A&t=15s

Hii ni wiki moja na nusu iliyopita
__________________

kiligoland, eddie305, Umoja, mat23 liked this post
MikaushoMikali no está en línea   Reply With Quote
Old January 2nd, 2018, 07:11 AM   #373
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,438
Likes (Received): 12254

She is beautiful
kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old January 2nd, 2018, 09:38 PM   #374
kiligoland
Moderator
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Dar es salaam
Posts: 10,438
Likes (Received): 12254

kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old January 10th, 2018, 07:25 AM   #375
eddie305
EastAfRica
 
eddie305's Avatar
 
Join Date: Apr 2013
Location: Arusha/Dar/Nairobi
Posts: 491
Likes (Received): 821

GOOD NEWS. ATCL IS NOW HIRING.

__________________
Most people do not listen with the intent to understand. Most people listen with the intent to reply.” – Stephen R. Covey

bantugbro, odilrak, BenjaminEli liked this post
eddie305 no está en línea   Reply With Quote
Old January 10th, 2018, 08:08 PM   #376
tanzan
Serengeti
 
tanzan's Avatar
 
Join Date: Apr 2010
Location: Dar es Salaam
Posts: 3,979
Likes (Received): 1824

Quote:
Originally Posted by kiligoland View Post
She is beautiful
Very beautiful with the snow the colors look so cool.
__________________
TANZANIA
Best Safari Country of Africa
tanzan no está en línea   Reply With Quote
Old January 12th, 2018, 06:09 AM   #377
eddie305
EastAfRica
 
eddie305's Avatar
 
Join Date: Apr 2013
Location: Arusha/Dar/Nairobi
Posts: 491
Likes (Received): 821

Tanzania: ATCL Scouts for 88 New Cabin Crew

AIR Tanzania Company Limited has announced vacant positions for at least eighty-eight (88) cabin crew ahead of fresh arrivals of four brand new planes from June, this year.

Anytime from now, the company will also be sending eight pilots abroad out of planned ten to learn how to operate the new machines, all in keeping with international regulations.

In a telephone interview with The Daily News yesterday, ATCL Managing Director and Chief Executive Officer Engineer Ladislaus Matindi said the public-owned airline had since recruited 30 cabin crew, and would soon advertise for 88 more posts to fill potential vacancies to be created beginning next June.

In June, 2015 President John Magufuli announced government plans to purchase two branded Bombardier CS300 aircraft with capacities of between 137 and 150 passengers, slated for delivery between May and June, this yearThe Head of State also revealed that the government would buy one 262-seater Boeing 787 Dash 8 Dream Liner whose delivery is also set for next June (2018), adding that initial payments for the aircrafts had since been made.

"... so we have decided to announce the (vacancies) for 88 cabin crew so that the qualified recruits may have a 'lead time' of at least three to four months of training ... to enable them learn how to handle the aircraft ... before the arrival," the ATCL chief told The Daily News.

After recruitment of the right candidates from a pool of applicants - and training them -- the aviation experts would then deploy the cabin crew to planes that would be graded into three categories, namely, large, medium and small. Currently, the ATCL operates two Bombardier Q400 planes, thanks to President Magufuli's efforts to revive the national carrier.

On the pilots, the ATCL director said the company had already recruited pilots for the anticipated planes, and that the first batch of eight people would travel for overseas training 'anytime from now.'

Without going into details, Mr Matindi explained that "the training is important ... for the simple reason that international standards require pilots to undergo training on how to operate a certain brand regardless of their experience... this is not like (your normal) driving vehicle licence.

SOURCE:http://allafrica.com/stories/201801110242.html
__________________
Most people do not listen with the intent to understand. Most people listen with the intent to reply.” – Stephen R. Covey

Umoja, TheElias liked this post
eddie305 no está en línea   Reply With Quote
Reply

Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is OffAll times are GMT +2. The time now is 08:32 PM. • styleid: 14

Powered by vBulletin® Version 3.8.11 Beta 4
Copyright ©2000 - 2018, vBulletin Solutions Inc.
Feedback Buttons provided by Advanced Post Thanks / Like (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2018 DragonByte Technologies Ltd.

vBulletin Optimisation provided by vB Optimise (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2018 DragonByte Technologies Ltd.

SkyscraperCity ☆ In Urbanity We trust ☆ about us | privacy policy | DMCA policy

tech management by Sysprosium