search the site
 daily menu » rate the banner | guess the city | one on oneforums map | privacy policy | DMCA | news magazine | posting guidelines

Go Back   SkyscraperCity > Continental Forums > Africa > East Africa > UgandaGlobal Announcement

As a general reminder, please respect others and respect copyrights. Go here to familiarize yourself with our posting policy.

Reply

Thread Tools
Old February 13th, 2011, 04:35 PM   #1
xJamaax
#Hass
 
xJamaax's Avatar
 
Join Date: Apr 2010
Posts: 15,900
Likes (Received): 2783

Jukwa la Kiswahili

swahili thread.

Last edited by xJamaax; August 16th, 2012 at 01:55 AM.
xJamaax no está en línea   Reply With Quote

Sponsored Links
Old February 24th, 2011, 11:25 PM   #2
Kisumu Ndogo
美国: Rep KE
 
Kisumu Ndogo's Avatar
 
Join Date: May 2007
Location: @penguins.nhl.com ☆☆☆☆☆
Posts: 3,605
Likes (Received): 54

Waganda mpoo, Kiswahili chenu kiwapi!.
__________________
isupporthekenyancountygovernments

Last edited by Kisumu Ndogo; May 31st, 2011 at 06:28 AM.
Kisumu Ndogo no está en línea   Reply With Quote
Old February 27th, 2011, 01:45 AM   #3
xJamaax
#Hass
 
xJamaax's Avatar
 
Join Date: Apr 2010
Posts: 15,900
Likes (Received): 2783

Najua waganda wengi huongea kiganda badala ya Kiswahili.Kuna wengine wanaongea kama wakenya
xJamaax no está en línea   Reply With Quote
Old February 27th, 2011, 09:02 AM   #4
Naijaborn
.........................
 
Naijaborn's Avatar
 
Join Date: Jun 2010
Location: Lagos.
Posts: 14,652
Likes (Received): 4204

Swahili in the Ugandan forum??
Hope this works...
Good-Luck.!
__________________
-Lagos City Gallery-

To view links or images in signatures your post count must be 10 or greater. You currently have 0 posts.
Naijaborn no está en línea   Reply With Quote
Old February 27th, 2011, 09:33 AM   #5
Kenguy
Registered User
 
Kenguy's Avatar
 
Join Date: Dec 2006
Location: East Africa.
Posts: 9,117
Likes (Received): 1407

Quote:
Originally Posted by Naijaborn View Post
Swahili in the Ugandan forum??
Hope this works...
Good-Luck.!
Maybe if we get forumers from the Eastern or far Western regions or the armed forces. English is Uganda's national language IMO and to a lesser extent Luganda.
__________________
The African Renaissance.
Kenguy no está en línea   Reply With Quote
Old March 19th, 2011, 01:59 AM   #6
xJamaax
#Hass
 
xJamaax's Avatar
 
Join Date: Apr 2010
Posts: 15,900
Likes (Received): 2783

Quote:
Originally Posted by Kenguy View Post
Maybe if we get forumers from the Eastern or far Western regions or the armed forces. English is Uganda's national language IMO and to a lesser extent Luganda.
Nilipatana na mganda mwingine ambaye anazungumza kiswahili vizuri sana!Nilishangaa kwa sababu sijawahi kupatana na yeyote anayeongea Kiswahili.Huwa napatana sana na wanaongea Kiganda
__________________

To view links or images in signatures your post count must be 10 or greater. You currently have 0 posts.

xJamaax no está en línea   Reply With Quote
Old April 16th, 2011, 06:00 PM   #7
xJamaax
#Hass
 
xJamaax's Avatar
 
Join Date: Apr 2010
Posts: 15,900
Likes (Received): 2783

Quote:
Originally Posted by Naijaborn View Post
Swahili in the Ugandan forum??
Hope this works...
Good-Luck.!
There are Uganda forumers who are very fluent especially those in the North.The problem is that we don't have many active Ugandan forumers
xJamaax no está en línea   Reply With Quote
Old April 25th, 2011, 03:25 AM   #8
Makelele
Registered User
 
Join Date: Feb 2011
Posts: 92
Likes (Received): 3

I agree with xjamaax swahili is a good second language to keep our unity in east africa as a tool for trade and strengthening our economy. Ehiopians have their own Amhara, likewise we can broadenthe spread of swhaili thorugh out the continent. Can you imagine if the whole of Africa was united with a universal language.
Makelele no está en línea   Reply With Quote
Old April 30th, 2011, 08:49 PM   #9
xJamaax
#Hass
 
xJamaax's Avatar
 
Join Date: Apr 2010
Posts: 15,900
Likes (Received): 2783

Thumbs up

Quote:
Originally Posted by Makelele View Post
I agree with xjamaax swahili is a good second language to keep our unity in east africa as a tool for trade and strengthening our economy. Ehiopians have their own Amhara, likewise we can broadenthe spread of swhaili thorugh out the continent. Can you imagine if the whole of Africa was united with a universal language.
I second that mzee!Ingekuwa poa kama Kenya na nchi zengine zingeweza kuachana na hizi lugha za wakoloni na kuboresha lugha moja kwa taifa nzima.
xJamaax no está en línea   Reply With Quote
Old May 12th, 2011, 04:23 AM   #10
chamoto
سلم
 
chamoto's Avatar
 
Join Date: Dec 2010
Posts: 430
Likes (Received): 62

Quote:
Originally Posted by xJamaax View Post
I second that mzee!Ingekuwa poa kama Kenya na nchi zengine zingeweza kuachana na hizi lugha za wakoloni na kuboresha lugha moja kwa taifa nzima.
Nimeipenda hii ndugu
__________________

Mimi na wewe
chamoto no está en línea   Reply With Quote
Old June 15th, 2011, 05:11 AM   #11
Kisumu Ndogo
美国: Rep KE
 
Kisumu Ndogo's Avatar
 
Join Date: May 2007
Location: @penguins.nhl.com ☆☆☆☆☆
Posts: 3,605
Likes (Received): 54

Quote:
Originally Posted by xJamaax View Post
I second that mzee!Ingekuwa poa kama Kenya na nchi zengine zingeweza kuachana na hizi lugha za wakoloni na kuboresha lugha moja kwa taifa nzima.
Kuepuka Kiengereza hakitakuwa kazi rahisi kwa sababu za kibiashara, mawasiliano na Kijiji-Ulimwengu cha sasa. Almuradi kama bado mataifa ya Marikani na Europa magharibi(Hususan Uingereza) yakiendelea kuongoza duniani kiuchumi sioni haya mataifa madogo kama yetu ya Afrika mashariki kama yataepuka ukoloni huu wa lugha.
__________________
isupporthekenyancountygovernments

Last edited by Kisumu Ndogo; June 28th, 2011 at 03:21 AM.
Kisumu Ndogo no está en línea   Reply With Quote
Old July 25th, 2011, 09:05 PM   #12
xJamaax
#Hass
 
xJamaax's Avatar
 
Join Date: Apr 2010
Posts: 15,900
Likes (Received): 2783

Quote:
Originally Posted by Kisumu Ndogo View Post
Kuepuka Kiengereza hakitakuwa kazi rahisi kwa sababu za kibiashara, mawasiliano na Kijiji-Ulimwengu cha sasa. Almuradi kama bado mataifa ya Marikani na Europa magharibi(Hususan Uingereza) yakiendelea kuongoza duniani kiuchumi sioni haya mataifa madogo kama yetu ya Afrika mashariki kama yataepuka ukoloni huu wa lugha.
Lakini nchi zingine zinaendelea vizuri bila kutumia kingereza,kwa nini?
xJamaax no está en línea   Reply With Quote
Old July 26th, 2011, 06:15 AM   #13
Kisumu Ndogo
美国: Rep KE
 
Kisumu Ndogo's Avatar
 
Join Date: May 2007
Location: @penguins.nhl.com ☆☆☆☆☆
Posts: 3,605
Likes (Received): 54

Quote:
Originally Posted by xJamaax View Post
Lakini nchi zingine zinaendelea vizuri bila kutumia kingereza,kwa nini?
Ni kweli mf. Uchina na Ujapani n.k, mataifa ambayo yamkini yameweza kuhifadhi nyendo, ustaarabu na mila zao hata kufikia kiwango cha kuenda kidete yakilinganishwa na yale ya watani wao mataifa ya Europa magharibi(Wakoloni wa wahti huo). Sie shida yetu ni kuwa wakoloni hawa walituachia (-) effects(kama: Utumwa, Uwiizi wa mashamba, Ajira ya kulazimu na ubaguzi wa rangi na jinsia..) maana waliyavuruga kabisa nyendo na dhana za babu na bibi zetu; wazao wetu enzi hizo za zama na kuwalazimu kuyaiga mambo yao japo shingo upande.

Ukiangalia katika historia dini kama ya Budhaa kutoka Asia iliitangulia dini kama ya Ukristo na Uislamu na hata distant trade ilikuwa imeimarika sana katika Asia wakati huo. Taifa kama la China katika karne kabla ya 1800 ndio ilikuwa taifa ambalo lilikuwa limeimarika kimaendeleo hata kuyashinda mataifa ya West. Sisi mataifa yetu bado ni machanga, ndo sababu hatuna budi kuyaaiga mienendo ya wenza wetu wa Europa. Kwa ufupi twaweza tu kuendelea kama tutayachukua mema yao na yetu mazuri na kuyaimarisha vipasavyo.
__________________
isupporthekenyancountygovernments
Kisumu Ndogo no está en línea   Reply With Quote
Old July 27th, 2011, 02:19 AM   #14
xJamaax
#Hass
 
xJamaax's Avatar
 
Join Date: Apr 2010
Posts: 15,900
Likes (Received): 2783

Quote:
Originally Posted by Kisumu Ndogo View Post
Ni kweli mf. Uchina na Ujapani n.k, mataifa ambayo yamkini yameweza kuhifadhi nyendo, ustaarabu na mila zao hata kufikia kiwango cha kuenda kidete yakilinganishwa na yale ya watani wao mataifa ya Europa magharibi(Wakoloni wa wahti huo). Sie shida yetu ni kuwa wakoloni hawa walituachia (-) effects(kama: Utumwa, Uwiizi wa mashamba, Ajira ya kulazimu na ubaguzi wa rangi na jinsia..) maana waliyavuruga kabisa nyendo na dhana za babu na bibi zetu; wazao wetu enzi hizo za zama na kuwalazimu kuyaiga mambo yao japo shingo upande.

Ukiangalia katika historia dini kama ya Budhaa kutoka Asia iliitangulia dini kama ya Ukristo na Uislamu na hata distant trade ilikuwa imeimarika sana katika Asia wakati huo. Taifa kama la China katika karne kabla ya 1800 ndio ilikuwa taifa ambalo lilikuwa limeimarika kimaendeleo hata kuyashinda mataifa ya West. Sisi mataifa yetu bado ni machanga, ndo sababu hatuna budi kuyaaiga mienendo ya wenza wetu wa Europa. Kwa ufupi twaweza tu kuendelea kama tutayachukua mema yao na yetu mazuri na kuyaimarisha vipasavyo.
Inakaa umefahamu nilichosema hapo awali vizuri.
xJamaax no está en línea   Reply With Quote
Old July 27th, 2011, 02:21 PM   #15
bantugbro
Olduvai Gorge
 
bantugbro's Avatar
 
Join Date: Feb 2011
Posts: 2,759
Likes (Received): 541

Yaani mpaka sasa hakuna hata mwanajamvi mmoja wa Uganda aliyejitokeza..

Where is u.g boy????
__________________
"...your behind-the-keyboard insinuations will get good people banned for trivial reasons, please don't start with me..."
bantugbro no está en línea   Reply With Quote
Old November 28th, 2011, 11:52 PM   #16
Kisumu Ndogo
美国: Rep KE
 
Kisumu Ndogo's Avatar
 
Join Date: May 2007
Location: @penguins.nhl.com ☆☆☆☆☆
Posts: 3,605
Likes (Received): 54

Quote:
Originally Posted by bantugbro View Post
Yaani mpaka sasa hakuna hata mwanajamvi mmoja wa Uganda aliyejitokeza..

Where is u.g boy????
Jukwaa(Swahili) lipo chini kwa sasa lakini twataraji mema nyakati za usoni. Akina Buganda na Sseki2010 na wengineo lakini u.g boy kajikakamua kweli ukumbini kwa kijumla.
__________________
isupporthekenyancountygovernments
Kisumu Ndogo no está en línea   Reply With Quote
Old April 8th, 2013, 09:04 PM   #17
sanity2
BANNED
 
Join Date: Mar 2013
Posts: 59
Likes (Received): 14

lol i used to have Kenya friends at budo,, lots of Kenyans used to come over; i do not know if that's still the case.
sanity2 no está en línea   Reply With Quote

Reply

Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off

Related topics on SkyscraperCity

All times are GMT +2. The time now is 05:23 AM.

Powered by vBulletin® Version 3.8.8 Beta 1
Copyright ©2000 - 2016, vBulletin Solutions, Inc.
Feedback Buttons provided by Advanced Post Thanks / Like (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2016 DragonByte Technologies Ltd.

vBulletin Optimisation provided by vB Optimise (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2016 DragonByte Technologies Ltd.

SkyscraperCity ☆ In Urbanity We trust ☆ about us | privacy policy | DMCA policy

Hosted by Blacksun, dedicated to this site too!
Forum server management by DaiTengu