|
|
| daily menu » rate the banner | guess the city | one on one |
|
|
#261 |
|
Tanzanian Rain
Join Date: Oct 2012
Location: I wouldn't mind living in Seychelles or Hawaii.
Posts: 3,099
Likes (Received): 704
|
eeh nani anarudi bongo xmas hii na mwaka mpya?
tunahitaji watu ambao wapo bongo watuletee updates na projects mpya kwa sana aisee.
__________________
Back to Black. :( Last edited by Rain Drops; December 11th, 2012 at 09:14 PM. |
|
|
|
|
|
#262 |
|
Registered User
Join Date: Jan 2010
Location: Shanghai
Posts: 6,002
Likes (Received): 637
|
Da! Mi nina hamu ya kurudi bongo ila uchumi umeniporomokea ile mbaya
__________________
TANZANIA The land of kilimanjaro Zanzibar and The Serengeti |
|
|
|
|
|
#263 |
|
Registered User
Join Date: Jan 2010
Location: Shanghai
Posts: 6,002
Likes (Received): 637
|
Yule dogo mwenye blog safi sana, tukimshawishi atakua analeta vitu vya kufa mtu humu
__________________
TANZANIA The land of kilimanjaro Zanzibar and The Serengeti |
|
|
|
|
|
#264 |
|
Tanzanian Rain
Join Date: Oct 2012
Location: I wouldn't mind living in Seychelles or Hawaii.
Posts: 3,099
Likes (Received): 704
|
hahha pole ndugu, mimi sirudi maana nina mitihani mwezi wa kwanza kwenye tarehe 10 hivi..yaani wabongo siku hizi hatuna updates za majengo mapya kabisa na ukitafuta net hauambulii chochote..wale watu wa JF si wajiunge huku pia tuwashawishi watulekee ma projects mapya..
__________________
Back to Black. :( |
|
|
|
|
|
#265 | |
|
Registered User
Join Date: Jan 2010
Location: Shanghai
Posts: 6,002
Likes (Received): 637
|
Quote:
__________________
TANZANIA The land of kilimanjaro Zanzibar and The Serengeti |
|
|
|
|
|
|
#266 | |
|
Tanzanian Rain
Join Date: Oct 2012
Location: I wouldn't mind living in Seychelles or Hawaii.
Posts: 3,099
Likes (Received): 704
|
Quote:
hahaha kweli kabisa..niliicheki JF nikaanza kucheka kichizi, ama kweli wabongo maneno mengi khaa..yaani mtu anafunguka jinsi anavyochukia siasa hadi unaanza kucheka mwenyewe..
__________________
Back to Black. :( |
|
|
|
|
|
|
#267 |
|
Mfalme Kolonel
Join Date: Nov 2012
Location: Wadiya
Posts: 1,251
Likes (Received): 92
|
Kiswahili ya tanzania iko nguvu kusoma!
__________________
They say the streets is a demon in a dress, with dollar signs in her eyes and semen on her breath. I'm just trying to do the opposite of left, as long as there's the opposite of death, ya know/Yes, ya test and I just might bring the opposite of life, til' there's no one the opposite of right. |
|
|
|
|
|
#268 |
|
Registered User
Join Date: Jan 2010
Location: Shanghai
Posts: 6,002
Likes (Received): 637
|
__________________
TANZANIA The land of kilimanjaro Zanzibar and The Serengeti |
|
|
|
|
|
#269 | |
|
سلم
Join Date: Dec 2010
Posts: 427
Likes (Received): 18
|
Quote:
kwa walio nje wengi wana miss nyumbani kwahiyo mabadiliko kidogo wanayoyaona kwao ni maendeleo kulinganisha na walipoondoka. Wengi wanakuwa na uzalendo kwasababu wanajua nini maana ya kuwa nchini kwako. Pia unapokuwa nje mambo ya ufisadi, kupendeleana, rushwa na kujuana unayasikia kwenye mitandao tuu wakati wenzako wanayaona kila siku.
__________________
Mimi na wewe |
|
|
|
|
|
|
#270 | |
|
Tanzanian Rain
Join Date: Oct 2012
Location: I wouldn't mind living in Seychelles or Hawaii.
Posts: 3,099
Likes (Received): 704
|
Quote:
Kila mtu anayemaliza chuo kitu cha kwanza anafikiria ni kwenda Dar kutafuta kazi, sasa hizo kazi kaitwa au anaenda kwa mswalie mtume tu? wengine inabidi wamalize UDOM waende Singida, Tabora si wote waje Dar. Nikiendaga bongo wala nakaaga kijijini kwa miezi miwili na naona barabara mpya, zahanati lakini naona hali duni ile ile..bora kwetu kule kuna vyakula vingi hadi wanamwaga, lakini umeongea kwa ufasaha kabisa..bongo watu siku hizi hawana imani tena..wamekata tamaa.
__________________
Back to Black. :( Last edited by Rain Drops; December 14th, 2012 at 07:36 PM. |
|
|
|
|
|
|
#271 | |
|
سلم
Join Date: Dec 2010
Posts: 427
Likes (Received): 18
|
Quote:
Lakini wajanja walipokuja kubinafsisha secta za umma wakaharibu mfumo mzima wa uendeshaji nchini kitu ambacho kiliondoa uwiano wa ajira. Wakulima wa pamba kwa mfano, wakakosa pa kuuza malighafi zao kwasababu hakukuwa na viwanda vya nguo. Vijana wakawa wanakimbilia Dar kutafuta bahati yao. Sijui una umri gani lakini nakumbuka nikiwa mdogo nilivaa sana viatu vya bora, suruali zangu za pamba ya Tanzania zilikuwa za kushonesha, nyama za kusaga pamoja na juice zake tamu zilikuwa zinatoka Tanganyika parkers (made in Tanzania). Hizi zote zilikuwa ni ajira za watu ambao hawakuwa na ulazima wa kukimbilia Dar ili wapate kazi.
__________________
Mimi na wewe |
|
|
|
|
|
|
#272 | |
|
Tanzanian Rain
Join Date: Oct 2012
Location: I wouldn't mind living in Seychelles or Hawaii.
Posts: 3,099
Likes (Received): 704
|
Quote:
pili, kampuni na zenyewe ambazo zinatumia rasilimali za mikoa mengine zilipe kodi kwa hiyo mikoa, si dar...maana sasa kampuni ya madini, ina ofisi kuu dar..kodi zinaenda kwa mkoa wa dar na si mkoa wa madini ambao inatakiwa.. dar imejaa sana, na inazidi kujaa..itafikia wakati inabidi uanze kuleta watu kwa vibali hahhaa. alafu kama zembwela alivyosema kwenye kipindi cha uswazi..wabunge wakae makwao..fimbo ya mbali haui nyoka..we unaishi dar miaka yote wakati jimbo lako liko lindi..wapi na wapi hapo.. mimi kama mimi sipendi mfumo wa zamani wa ujamaa...mm nipo centre right sana..kwahiyo naona ni vyema tuliachana nao sema ubaya ni kwamba ufisadi umekithiri..si mfumo wenye matatizo, ni taasisi zetu.
__________________
Back to Black. :( |
|
|
|
|
|
|
#273 |
|
Registered User
Join Date: Jan 2010
Location: Shanghai
Posts: 6,002
Likes (Received): 637
|
![]() ![]() Uliza siku ya uhuru iliendaje huku getho mitaa ya kati , piga chabo kideo hiko lakini uwe mvumilivi hadi tangazo liishe, usikate tamaa ni sekunde kadhaa tu, halafu inafuata videohttp://v.youku.com/v_show/id_XNDg5Mjc3OTIw.html
__________________
TANZANIA The land of kilimanjaro Zanzibar and The Serengeti |
|
|
|
|
|
#274 | |
|
Tanzanian Rain
Join Date: Oct 2012
Location: I wouldn't mind living in Seychelles or Hawaii.
Posts: 3,099
Likes (Received): 704
|
Quote:
kuna watu wanavituko sana duniani hahah
__________________
Back to Black. :( |
|
|
|
|
|
|
#275 |
|
Registered User
Join Date: Jan 2010
Location: Shanghai
Posts: 6,002
Likes (Received): 637
|
__________________
TANZANIA The land of kilimanjaro Zanzibar and The Serengeti |
|
|
|
|
|
#276 |
|
Tanzanian Rain
Join Date: Oct 2012
Location: I wouldn't mind living in Seychelles or Hawaii.
Posts: 3,099
Likes (Received): 704
|
Ze comedy..
Hahaha, joti mjinga sana aisee hebu chekini hapa:
__________________
Back to Black. :( |
|
|
|
|
|
#277 |
|
Registered User
Join Date: Jan 2010
Location: Shanghai
Posts: 6,002
Likes (Received): 637
|
![]() ![]()
__________________
TANZANIA The land of kilimanjaro Zanzibar and The Serengeti |
|
|
|
|
|
#278 |
|
Tanzanian Rain
Join Date: Oct 2012
Location: I wouldn't mind living in Seychelles or Hawaii.
Posts: 3,099
Likes (Received): 704
|
^ hii habari mliisoma wakuu? Sasa gazeti lote litakuwa linaandika nini? matangazo? http://issamichuzi.blogspot.co.uk/20...hishwa-na.html
__________________
Back to Black. :( |
|
|
|
|
|
#279 |
|
BANNED
Join Date: May 2010
Posts: 1,768
Likes (Received): 3
|
Heri ya Noeli na nawatakia fanaka tele katika kuanza mwaka mpya
|
|
|
|
|
|
#280 |
|
Registered User
Join Date: Jan 2010
Location: Shanghai
Posts: 6,002
Likes (Received): 637
|
Asante mkuu, na mewe pia, mungu akubariki
__________________
TANZANIA The land of kilimanjaro Zanzibar and The Serengeti |
|
|
|
![]() |
| Thread Tools | |
| Display Modes | |
|
|