daily menu » rate the banner | guess the city | one on one

Go Back   SkyscraperCity > Continental Forums > Africa > East Africa > Tanzania > Swahili Lounge

Reply

Thread Tools Display Modes
Old October 27th, 2012, 12:08 PM   #1
Geza Ulole
BANNED
 
Join Date: May 2010
Posts: 1,768
Likes (Received): 3

Learn perfect swahili/Jifunze Kiswahili fasaha

Ndugu wanajamii wenzangu nina nia nzuri isiyo na hiyana yeyote ile ya kuanzisha jukwaa hili kujaribu kusahihisha makosa mengi ninayoyaona kila wakati ninaposoma makala za magazeti ya Kiswahili yawe yameandikwa na Watanzania wenzangu au na Wakenya.

Niseme tu, mimi ni msomaji mzuri wa magazeti ya Nipashe, Mwananchi, Taifa leo na Habari leo. na kila ninaposoma huwa nakutana na makosa mengii ya matumizi fasaha ya lugha hii na inanifanya niwe na muamko wa kusaidia kurekebisha matumizi bora ya lugha!

Nina uelewe wa kuwa gazeti la Nationmedia lina utaratibu wa kubadilishana wafanyakazi walio chini ya kampuni mama ya Nationmedia ili tu kubadilishana uzoefu wa matumizi ya lugha mbili zinazotumika na kampuni hii ya habari.

Naomba niwakaribishe Watanzania wote na wale Waswahili wanaodhani wanaweza kusaidia matumizi bora ya lugha hii kwa ufasaha kushiriki katika jukwaa hili.

Karibuni

ONYO
Jukwaa hili halipo hapa kuleta lugha ya kejeli au matusi au majibizano yasiyo na maana bali kuleta ugomvi. Jukwaa hili lipo hapa kwa kujifunza asiyetaka asichangie. Natanguliza shukrani kwa uelewa wa yeyote mwenye hiyana na jukwaa hili!

Last edited by Geza Ulole; November 4th, 2012 at 08:58 PM.
Geza Ulole no está en línea   Reply With Quote

Sponsored Links
 
Old October 27th, 2012, 12:35 PM   #2
kiligoland
Registered User
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Shanghai
Posts: 6,014
Likes (Received): 647

poa mkuu we dondosha nondo, mimi daftari langu la mwandiko lilipotea kitambo,

lakini pia huwa nakerwa na baadhi ya watu hata wa blog zetu wanavyoandika, sasa sijui ni fashion au utelezi huu pia ni wa kisanii, lakini huwa sikerwi na uandishi katika blog ya jamii ya issa michuzi aka globu ya jamii , mkuu wa ze fulana na konoz, uandishi huu hunikeri na umeweza kuongeza maneno ya kiswahili kwa mfano BOFYA, LIBENEKE nk, mimi sina uhakika kama uandishi huu una madhara mazuri au mabaya inategemeana na hadhira inayopokea, kuna baadhi ya maneno yanayokera ntajaribu kuyatafuta na kushare
kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old October 27th, 2012, 12:37 PM   #3
Geza Ulole
BANNED
 
Join Date: May 2010
Posts: 1,768
Likes (Received): 3

Kwa kuanza tu leo nimesoma makala hii nzuri na nimefurahi kuona mwanadada wa Kikenya akijaribu kuandika na niseme ukweli ameandika vizuri japokuwa kuna makosa madogo madogo ningependa kumsahihisha kama nguli wa Kiswahili! Makala hii inapatikana hapa

Kenya sasa katika hofu mpya ya vikundi hatari

Rais Mwai Kibaki wa Kenya akila kiapo baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2002.

IN SUMMARY ["KWA MUHTASARI" au "KWA KIFUPI"]

Uchunguzi uliofanywa na kamati hiyo ulionyesha kwamba vikundi hivi vinadhaminiwa na baadhi ya viongozi wanasiasa haswa wanaogombea urais. Wanasia [wanasiasa au Wanasiasa kwa vile ni jina] watatu sasa hivi wanachunguzwa kuhusaiana na habari kwamba wanagharamia shughuli za vikundi hivi. Inasikitisha kwamba, uchunguzi wa kamati hiyo pia ilipata habari kwamba baadhi ya wakuu wa polisi katika Mkoa wa Nyanza na kwingineko hulipwa na vikundi hivi ili visichukuliwe hatua za kisheria.

NIMEKUWA nikitafuta mada nzuri ya kuchambua juma hili nje ya uchaguzi wa kenye [Kenya kwa vile ni nchi] sijafanikiwa kuipata. Nchi yangu ambayo huwa nahimizwa kila mara nijivunie inazama katika bahari ya hofu, sintofahamu na giza totoro. Ni kama tunaishi katika ombwe tupu.

Kama Kenya ingekuwa katika nyakati za Agano la Kale la Bibilia, ingekuwa jiji la Nineveh linalopatikana katika Kitabu cha Yona. Kwa wale wasiobobea katika mafundisho ya Bibilia, Nineveh ni jiji lililokuwa limejaa uozo uliotokana na viongozi waliokuwa na damu nyingi mikononi mwao, Mungu hakufurahishwa.

Aliamua kuingilia kati na kumtumia mtumishi wake Yona, mwana wa Amittai aende awaubirie raia wa jiji hilo ili wabadili mienendo yao. Yona, kwa kuwa alifahamu yaliyokuwa yakiendelea katika jiji hilo, hakutaka kujiingiza katika eneo hilo lenye dhambi nyingi. Aliamua kwamba hawezi kupoteza muda wake kwa watu wenye masikio lakini hawasikii, watu wenye macho lakini hawataki kuona. Kwa hiyo, alifunganya [alifungasha] virago na kupanda meli katika mji wa Joppa na kutorokea eneo linaloitwa Tarshish. Juhudi zake hata hivyo ziliambulia patupu kwa kuwa mwishowe, alilazimishwa na Mungu kwenda Nineveh na kuiokoa. Tofauti na Nineveh ambayo viongozi wake wa kisiasa, raia na mfalme wao walivaa magunia na kujipaka majivu na kutubu dhambi za mauaji ya kupindukia na kusamehewa hatimaye, viongozi wa Kenya hawasikii la mchimba madini wala la mtega maji kisimani [binafsi sijawahi sikia msemo huu na kama upo basi alipaswa kusema "mteka" na si "mtega" nachojua mimi kuna msema unafanana na huu unasema "hasikii/hawasikii la Mhadhini wala la Mhadhina"]. Aliyesema kuwa sikio la kufa halisikii dawa, alikuwa na Kenya akilini mwake.

Kenya ni nchi ambayo ingawa imebarikiwa na raslimali [rasilimali japokuwa hata raslimali inaruhusiwa pia]na maliasili ya kila aina, inatambaa kwa magoti kwa sababu ya kulemewa [kuelemewa] na shida chungu nzima za kujitafutia na zinazokuwa na chimbuko lake katika siasa duni. Ni masikitiko makuu.
Nchi imezama katika migomo ya kila aina. Walimu, madakatari na sasa marubani. Hata wauza ngono (wanawake kwa waume) wamekuwa na ujasiri wa kustaajabisha. Hivi majuzi waliandamana katika barabara za mji wa Nairobi na Thika (kilomita chache kutoka Nairobi) mchana kutwa wakibeba mabango makubwa wakitaka 'haki zao' kwa kuwa wanatoa huduma muhimu kwa taifa. Waliohojiwa na wanahabari walilalama kwamba, siku hizi wanapofanya 'biashara' yao, usalama huwa umezorota na wakaomba Serikali iwape ulinzi wa kutosha wakiongeza kwamba wako tayari kulipa ushuru kuchangia katika ukuaji wa uchumi! Lahaula!

Mashoga na wasenge [hapa ilipaswa aseme na Wasagaji maana usenge ni yule mwanaume asiye na nguvu za kiume na mara nyingi hajamiaani na mwanaume mwingine] wamekuwa wakisisitiza kwamba wanataka wapewe haki zao kama Wakenya wengine. Bado mambo! Babu yangu lazima anapinduka [neno sahihi hapa ni "anajeuka"; kupinduka hutumika mara nyingi kumaanisha ajali] kwenye kaburi lake kwa sababu ya vituko hivi.

Mbali na vikundi hivyo kutaka haki zao, ripoti kuhusu usalama nchini iliyotolewa wiki jana na Kamati ya Kitaifa inayotazama masuala ya wanahabari ilitia hofu zaidi. Hali ya usalama katika Jiji la Kisumu imewatisha wataalamu wa masuala ya kiusalama. Vikundi haramu vinavyojiita China 32 Group na America Marines vimeibuka na kuanzisha mitandao ya ghasia ambayo bila shaka ni mwanzo tu wa ghasia halisi zinazolenga kuhatarisha uchaguzi mkuu wa Machi 4, mwaka ujao.

Uchunguzi uliofanywa na kamati hiyo ulionyesha kwamba vikundi hivi vinadhaminiwa na baadhi ya viongozi wanasiasa [Wanasiasa Viongozi] haswa wanaogombea urais [Urais]. Wanasia watatu sasa hivi wanachunguzwa kuhusaiana [kuhusiana] na habari kwamba wanagharamia [wanagharimia] shughuli za vikundi hivi. Inasikitisha kwamba, uchunguzi wa kamati hiyo pia ilipata habari kwamba baadhi ya wakuu wa polisi katika Mkoa wa Nyanza na kwingineko hulipwa na vikundi hivi ili visichukuliwe hatua za kisheria.

Ili kudhihirisha ukwel [ukweli]huu wa mambo, kikundi cha American Marines wiki jana kilinaswa na kituo kimoja cha runinga kikivamia Kituo cha Polisi jijini Kisumu na kumwachilia huru mmoja wao aliyekuwa ametiwa nguvuni kwa kuhusika katika ghasia zilizokumba jiji hili kwa takriban siku mbili.

Ajabu ni kwamba, maafisa wa polisi walitazama tu bila kufanya lolote, hali inayodhihirisha kwamba, hawana nguvu yoyote ya kuwaadhibu ingawa wana jukumu la kufanya hivyo. Kwa sababu ya ukosefu wa usalama, wawekezaji katika jiji hili sasa hawana uhuru wowote wa kuendesha shughuli zao bila uoga [uwoga ila hata uoga inakubalika baadhi ya sehemu] wa kushambuliwa.

Hali ni mbaya lakini wale waliopewa jukumu la kuhakikisha amani na utengamano wanapuuza ["wanapuuzia" japokuwa hata wanapuuza hutumika pia ila kwa kimakosa nadhani] kazi zao na kuwaacha wawekezaji na wakazi katika hatari ya kupoteza mali na maisha yao. Kwa sura kama hii inayojitokeza [iliyojitokeza kwa vile ni tukio lililokwishapita] miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu, Wakenya wana sababu ya kuhofia maisha yao.
Si ajabu kwamba wawekezaji wa kimataifa pamoja na wadhamini wa kimaendeleo wameelezea hofu yao kuhusu hatma ya Kenya inapojitayarisha kupiga kura mapema mwaka ujao.

Kenya iko mbioni kupanua uchumi wake haswa kufuatia kupatikana kwa raslimali ya mafuta ambayo wawekezaji wa kimataifa wanategemewa kuyachimba. Pia, ujenzi wa Bandari Kuu ya Lamu itakayofungua mtandao mkubwa wa biashara inayotegemea mafuta kati ya Kenya, Sudan Kusini na Ethiopia, ni kivutio cha wawekezaji. Lakini, watawekeza vipi ikiwa mwambao wa pwani unazama katika lindi la ghasia za kisiasa?

Aliyekuwa waziri wa Utalii, Bw. Najib Balala anasema kwamba, vikundi hivi vimekodishwa na baadhi ya wanasiasa ili kuzuia wanasiasa wengine wasifanye kampeni.
Ikiwa waziri mzima anavamiwa mchana kutwa ilhali ana walinzi, je, raia wa kawaida watafanya nini? Hali hii inatia tumbojoto wengi. Kwa hivyo, vyombo vya ulinzi havina budi kuweka darubini zao katika pembe zote za nchi ili visije vikachelewa. Ripoti ya kamati yasema kwamba, huenda ghasia za mwaka ujao zikawa mbaya zaidi kuliko za 2007/8.

Hili lanifanya kuhisi kwamba natembelewa na konokono mwilini mwote. Nakumbuka 2007 binti yangu aliponea chupuchupu baada ya kujeruhiwa begani kwa kisu alichorushiwa na mvulana wa jirani yangu. Kwa kuchelea kuuliwa, ilitulazimu tuhamie kwingineko kwa ghafla huku tukiacha kila kitu nyuma. Kosa la mwanangu lilikuwa kwamba ni Mkalenjin na jirani yangu Mkikuyu hakuona kwamba alikuwa na haki ya kuishi.

Kila ninapoona alama hiyo ya kisu, ninakumbuka kwamba hatuko salama kwa sababu ya 'kosa' la kuzaliwa Wakalenjin. Binti yangu amenisihi mara nyingi tuhame Kenya kwa muda wakati wa uchaguzi mkuu mwaka ujao. Kwa sababu ya usalama wake, nina mpango wa kuhama. Sitaki kushuhudia niliyoyashuhudia Desemba 28, 2007 na siku zilizofuata. Niliona miili ya Wajaluo bila sehemu za siri kwa kuwa zilikuwa zimekatwa na wavamizi wao Wakikuyu waliowatahiri kwa panga, shoka na chupa zilizovunjwavunjwa. Niliona mambo ambayo sitayasahahu daima dawama [sijawahi sikia neno hili nguli wengine wa lughawanaweza saidia hapa].

Kuna wanamuziki waliotunga nyimbo kuhusu Wajaluo wasiotahiri na kwamba kamwe hawawezi kuongozwa na watu wasiotahiri. Je, Waziri Mkuu, Raila Odinga akishinda uchaguzi wa mwaka ujao watu hao watafanya nini? Bila shaka kutakuwa na umwagikaji wa damu lakini polisi wakiweka usalama na waache kuwa na upendeleo na ubaguzi katika huduma zao kwa raia na nchi, kutakuwa na amani ya kudumu. Lakini pia, polisi hawatweza [hawataweza] kuwa kila mahali. Kwa hivyo, jukumu kubwa liko mabegani mwa raia. Tuache chuki na ukabila.

Juzi, walipokuwa wakihudhuria mkutano Umoja wa Mataifa kuhusu usalama, Rais Mwai Kibaki na Naibu wa Waziri Mkuu, Musalia Mudavadi walikuwa na wakati mgumu wa kuelezea ulimwengu kuhusu wanachofanya kuhakikisha kwamba uchaguzi utakuwa wa amani na haki.

Wiki hii, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa, Kofi Annan ataandamana na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Benjamin Mkapa katika ziara ya Kenya. Wawili hao watakutana na viongozi wa nyadhifa za juu serikalini kujadili uchaguzi wa mwaka ujao na ajenda kuu itakuwa masuala ya usalama wakati wa uchaguzi. Hii yaonyesha kwamba, macho yote ya dunia yako Kenya.

Waziri wa Usalama wa Ndani, Bw. Katoo Ole Metito ametoa onyo kali kwa vikundi hivi vizingatie sheria au vione cha mtema kuni. Kutokana na hali hii ya kudorora kwa usalama, maafisa 11 wa polisi wamemwaga unga kwa kuzembea kazini. Ingawa hii ni njia moja ya kuimarisha usalama, mengi yanahitajika kufanywa.

Maoni: Nimetiwa hamasa na mwanadada huyu wa Kikalenjin kwa uthubutu wake kutumia lugha fasaha na ndio maana kwa moyo mkunjufu nimetumia muda wangu kujaribu kurekebisha kasoro ndogondogo lakini kiswahili chake ni kizuri na nina uhakika akiendelea kujitahidi atamudu uhandishi wa kiswahili fasaha na murua.

Last edited by Geza Ulole; October 30th, 2012 at 10:39 PM.
Geza Ulole no está en línea   Reply With Quote
Old October 27th, 2012, 12:44 PM   #4
Geza Ulole
BANNED
 
Join Date: May 2010
Posts: 1,768
Likes (Received): 3

Quote:
Originally Posted by kiligoland View Post
poa mkuu we dondosha nondo, mimi daftari langu la mwandiko lilipotea kitambo,

lakini pia huwa nakerwa na baadhi ya watu hata wa blog zetu wanavyoandika, sasa sijui ni fashion au utelezi huu pia ni wa kisanii, lakini huwa sikerwi na uandishi katika blog ya jamii ya issa michuzi aka globu ya jamii , mkuu wa ze fulana na konoz, uandishi huu hunikeri na umeweza kuongeza maneno ya kiswahili kwa mfano BOFYA, LIBENEKE nk, mimi sina uhakika kama uandishi huu una madhara mazuri au mabaya inategemeana na hadhira inayopokea, kuna baadhi ya maneno yanayokera ntajaribu kuyatafuta na kushare
nafahamu unachosema kuhusu Michuzi ule ni mtindo wake wa uhandishi wa libeneke (blog) lake (thanks to Michuzi for his contribution to this new word i hope malibeneke is also applied as its plural ) ila hapa tutajishughulisha na habari au makala kuu (mainstream news/editorials/opinions) ambazo mara nyingi hadhira yake ni inayotaka uelewa/utafiti wa mambo na haina mzaha au kutaka kujivinjari! Hata hivyo najiamini kwa Kiswahili kaka nilipata banda kwa lugha hii pia banda Kiingereza na B Kifaransa! ila nina miaka kumi sijaongea Kifaransa badala yake naongea Kijerumani lugha sikuwahi kuiotea maishani mwangu!

Last edited by Geza Ulole; October 27th, 2012 at 01:46 PM.
Geza Ulole no está en línea   Reply With Quote
Old October 27th, 2012, 04:37 PM   #5
kiligoland
Registered User
 
kiligoland's Avatar
 
Join Date: Jan 2010
Location: Shanghai
Posts: 6,014
Likes (Received): 647

mkuu uko ndondo ile mbaya,
kiligoland no está en línea   Reply With Quote
Old October 27th, 2012, 07:09 PM   #6
Geza Ulole
BANNED
 
Join Date: May 2010
Posts: 1,768
Likes (Received): 3

Quote:
Originally Posted by kiligoland View Post
mkuu uko ndondo ile mbaya,
hahah enzi za zilipendwa
Geza Ulole no está en línea   Reply With Quote
Old October 28th, 2012, 01:03 AM   #7
mwanamwiwa
Registered User
 
mwanamwiwa's Avatar
 
Join Date: Sep 2008
Posts: 9,550
Likes (Received): 136

Quote:
Originally Posted by Geza Ulole View Post
Kwa kuanza tu leo nimesoma makala hii nzuri na nimefurahi kuona mwanadada wa Kikenya akijaribu kuandika na niseme ukweli ameandika vizuri japokuwa kuna makosa madogo madogo ningependa kumsahihisha kama nguli wa Kiswahili! Makala hii inapatikana hapa

Kenya sasa katika hofu mpya ya vikundi hatari

Rais Mwai Kibaki wa Kenya akila kiapo baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2002.

IN SUMMARY ["KWA MUHTASARI" au "KWA KIFUPI"]

Uchunguzi uliofanywa na kamati hiyo ulionyesha kwamba vikundi hivi vinadhaminiwa na baadhi ya viongozi wanasiasa haswa wanaogombea urais. Wanasia [wanasiasa au Wanasiasa kwa vile ni jina] watatu sasa hivi wanachunguzwa kuhusaiana na habari kwamba wanagharamia shughuli za vikundi hivi. Inasikitisha kwamba, uchunguzi wa kamati hiyo pia ilipata habari kwamba baadhi ya wakuu wa polisi katika Mkoa wa Nyanza na kwingineko hulipwa na vikundi hivi ili visichukuliwe hatua za kisheria.

NIMEKUWA nikitafuta mada nzuri ya kuchambua juma hili nje ya uchaguzi wa kenye [Kenya kwa vile ni nchi] sijafanikiwa kuipata. Nchi yangu ambayo huwa nahimizwa kila mara nijivunie inazama katika bahari ya hofu, sintofahamu na giza totoro. Ni kama tunaishi katika ombwe tupu.

Kama Kenya ingekuwa katika nyakati za Agano la Kale la Bibilia, ingekuwa jiji la Nineveh linalopatikana katika Kitabu cha Yona. Kwa wale wasiobobea katika mafundisho ya Bibilia, Nineveh ni jiji lililokuwa limejaa uozo uliotokana na viongozi waliokuwa na damu nyingi mikononi mwao, Mungu hakufurahishwa.

Aliamua kuingilia kati na kumtumia mtumishi wake Yona, mwana wa Amittai aende awaubirie raia wa jiji hilo ili wabadili mienendo yao. Yona, kwa kuwa alifahamu yaliyokuwa yakiendelea katika jiji hilo, hakutaka kujiingiza katika eneo hilo lenye dhambi nyingi. Aliamua kwamba hawezi kupoteza muda wake kwa watu wenye masikio lakini hawasikii, watu wenye macho lakini hawataki kuona. Kwa hiyo, alifunganya [alifungasha] virago na kupanda meli katika mji wa Joppa na kutorokea eneo linaloitwa Tarshish. Juhudi zake hata hivyo ziliambulia patupu kwa kuwa mwishowe, alilazimishwa na Mungu kwenda Nineveh na kuiokoa. Tofauti na Nineveh ambayo viongozi wake wa kisiasa, raia na mfalme wao walivaa magunia na kujipaka majivu na kutubu dhambi za mauaji ya kupindukia na kusamehewa hatimaye, viongozi wa Kenya hawasikii la mchimba madini wala la mtega maji kisimani [binafsi sijawahi sikia msemo huu na kama upo basi alipaswa kusema "mteka" na si "mtega" nachojua mimi kuna msema unafanana na huu unasema "hasikii/hawasikii la Mhadhini wala la Mhadhina"]. Aliyesema kuwa sikio la kufa halisikii dawa, alikuwa na Kenya akilini mwake.

Kenya ni nchi ambayo ingawa imebarikiwa na raslimali [rasilimali japokuwa hata raslimali inaruhusiwa pia]na maliasili ya kila aina, inatambaa kwa magoti kwa sababu ya kulemewa [kuelemewa] na shida chungu nzima za kujitafutia na zinazokuwa na chimbuko lake katika siasa duni. Ni masikitiko makuu.
Nchi imezama katika migomo ya kila aina. Walimu, madakatari na sasa marubani. Hata wauza ngono (wanawake kwa waume) wamekuwa na ujasiri wa kustaajabisha. Hivi majuzi waliandamana katika barabara za mji wa Nairobi na Thika (kilomita chache kutoka Nairobi) mchana kutwa wakibeba mabango makubwa wakitaka 'haki zao' kwa kuwa wanatoa huduma muhimu kwa taifa. Waliohojiwa na wanahabari walilalama kwamba, siku hizi wanapofanya 'biashara' yao, usalama huwa umezorota na wakaomba Serikali iwape ulinzi wa kutosha wakiongeza kwamba wako tayari kulipa ushuru kuchangia katika ukuaji wa uchumi! Lahaula!

Mashoga na wasenge [hapa ilipaswa aseme na Wasagaji maana usenge ni yule mwanaume asiye na nguvu za kiume na mara nyingi hajamiaani na mwanaume mwingine] wamekuwa wakisisitiza kwamba wanataka wapewe haki zao kama Wakenya wengine. Bado mambo! Babu yangu lazima anapinduka [neno sahihi hapa ni "anajeuka"; kupinduka hutumika mara nyingi kumaanisha ajali] kwenye kaburi lake kwa sababu ya vituko hivi.

Mbali na vikundi hivyo kutaka haki zao, ripoti kuhusu usalama nchini iliyotolewa wiki jana na Kamati ya Kitaifa inayotazama masuala ya wanahabari ilitia hofu zaidi. Hali ya usalama katika Jiji la Kisumu imewatisha wataalamu wa masuala ya kiusalama. Vikundi haramu vinavyojiita China 32 Group na America Marines vimeibuka na kuanzisha mitandao ya ghasia ambayo bila shaka ni mwanzo tu wa ghasia halisi zinazolenga kuhatarisha uchaguzi mkuu wa Machi 4, mwaka ujao.

Uchunguzi uliofanywa na kamati hiyo ulionyesha kwamba vikundi hivi vinadhaminiwa na baadhi ya viongozi wanasiasa [Wanasiasa Viongozi] haswa wanaogombea urais [Urais]. Wanasia watatu sasa hivi wanachunguzwa kuhusaiana [kuhusiana] na habari kwamba wanagharamia [wanagharimia] shughuli za vikundi hivi. Inasikitisha kwamba, uchunguzi wa kamati hiyo pia ilipata habari kwamba baadhi ya wakuu wa polisi katika Mkoa wa Nyanza na kwingineko hulipwa na vikundi hivi ili visichukuliwe hatua za kisheria.

Ili kudhihirisha ukwel [ukweli]huu wa mambo, kikundi cha American Marines wiki jana kilinaswa na kituo kimoja cha runinga kikivamia Kituo cha Polisi jijini Kisumu na kumwachilia huru mmoja wao aliyekuwa ametiwa nguvuni kwa kuhusika katika ghasia zilizokumba jiji hili kwa takriban siku mbili.

Ajabu ni kwamba, maafisa wa polisi walitazama tu bila kufanya lolote, hali inayodhihirisha kwamba, hawana nguvu yoyote ya kuwaadhibu ingawa wana jukumu la kufanya hivyo. Kwa sababu ya ukosefu wa usalama, wawekezaji katika jiji hili sasa hawana uhuru wowote wa kuendesha shughuli zao bila uoga [uwoga ila hata uoga inakubalika baadhi ya sehemu] wa kushambuliwa.

Hali ni mbaya lakini wale waliopewa jukumu la kuhakikisha amani na utengamano wanapuuza ["wanapuuzia" japokuwa hata wanapuuza hutumika pia ila kwa kimakosa nadhani] kazi zao na kuwaacha wawekezaji na wakazi katika hatari ya kupoteza mali na maisha yao. Kwa sura kama hii inayojitokeza [iliyojitokeza kwa vile ni tukio lililokwishapita] miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu, Wakenya wana sababu ya kuhofia maisha yao.
Si ajabu kwamba wawekezaji wa kimataifa pamoja na wadhamini wa kimaendeleo wameelezea hofu yao kuhusu hatma ya Kenya inapojitayarisha kupiga kura mapema mwaka ujao.

Kenya iko mbioni kupanua uchumi wake haswa kufuatia kupatikana kwa raslimali ya mafuta ambayo wawekezaji wa kimataifa wanategemewa kuyachimba. Pia, ujenzi wa Bandari Kuu ya Lamu itakayofungua mtandao mkubwa wa biashara inayotegemea mafuta kati ya Kenya, Sudan Kusini na Ethiopia, ni kivutio cha wawekezaji. Lakini, watawekeza vipi ikiwa mwambao wa pwani unazama katika lindi la ghasia za kisiasa?

Aliyekuwa waziri wa Utalii, Bw. Najib Balala anasema kwamba, vikundi hivi vimekodishwa na baadhi ya wanasiasa ili kuzuia wanasiasa wengine wasifanye kampeni.
Ikiwa waziri mzima anavamiwa mchana kutwa ilhali ana walinzi, je, raia wa kawaida watafanya nini? Hali hii inatia tumbojoto wengi. Kwa hivyo, vyombo vya ulinzi havina budi kuweka darubini zao katika pembe zote za nchi ili visije vikachelewa. Ripoti ya kamati yasema kwamba, huenda ghasia za mwaka ujao zikawa mbaya zaidi kuliko za 2007/8.

Hili lanifanya kuhisi kwamba natembelewa na konokono mwilini mwote. Nakumbuka 2007 binti yangu aliponea chupuchupu baada ya kujeruhiwa begani kwa kisu alichorushiwa na mvulana wa jirani yangu. Kwa kuchelea kuuliwa, ilitulazimu tuhamie kwingineko kwa ghafla huku tukiacha kila kitu nyuma. Kosa la mwanangu lilikuwa kwamba ni Mkalenjin na jirani yangu Mkikuyu hakuona kwamba alikuwa na haki ya kuishi.

Kila ninapoona alama hiyo ya kisu, ninakumbuka kwamba hatuko salama kwa sababu ya 'kosa' la kuzaliwa Wakalenjin. Binti yangu amenisihi mara nyingi tuhame Kenya kwa muda wakati wa uchaguzi mkuu mwaka ujao. Kwa sababu ya usalama wake, nina mpango wa kuhama. Sitaki kushuhudia niliyoyashuhudia Desemba 28, 2007 na siku zilizofuata. Niliona miili ya Wajaluo bila sehemu za siri kwa kuwa zilikuwa zimekatwa na wavamizi wao Wakikuyu waliowatahiri kwa panga, shoka na chupa zilizovunjwavunjwa. Niliona mambo ambayo sitayasahahu daima dawama [sijawahi sikia neno hili nguli wengine wa lughawanaweza saidia hapa].

Kuna wanamuziki waliotunga nyimbo kuhusu Wajaluo wasiotahiri na kwamba kamwe hawawezi kuongozwa na watu wasiotahiri. Je, Waziri Mkuu, Raila Odinga akishinda uchaguzi wa mwaka ujao watu hao watafanya nini? Bila shaka kutakuwa na umwagikaji wa damu lakini polisi wakiweka usalama na waache kuwa na upendeleo na ubaguzi katika huduma zao kwa raia na nchi, kutakuwa na amani ya kudumu. Lakini pia, polisi hawatweza [hawataweza] kuwa kila mahali. Kwa hivyo, jukumu kubwa liko mabegani mwa raia. Tuache chuki na ukabila.

Juzi, walipokuwa wakihudhuria mkutano Umoja wa Mataifa kuhusu usalama, Rais Mwai Kibaki na Naibu wa Waziri Mkuu, Musalia Mudavadi walikuwa na wakati mgumu wa kuelezea ulimwengu kuhusu wanachofanya kuhakikisha kwamba uchaguzi utakuwa wa amani na haki.

Wiki hii, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa, Kofi Annan ataandamana na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Benjamin Mkapa katika ziara ya Kenya. Wawili hao watakutana na viongozi wa nyadhifa za juu serikalini kujadili uchaguzi wa mwaka ujao na ajenda kuu itakuwa masuala ya usalama wakati wa uchaguzi. Hii yaonyesha kwamba, macho yote ya dunia yako Kenya.

Waziri wa Usalama wa Ndani, Bw. Katoo Ole Metito ametoa onyo kali kwa vikundi hivi vizingatie sheria au vione cha mtema kuni. Kutokana na hali hii ya kudorora kwa usalama, maafisa 11 wa polisi wamemwaga unga kwa kuzembea kazini. Ingawa hii ni njia moja ya kuimarisha usalama, mengi yanahitajika kufanywa.

Maoni: Nimetiwa hamasa na mwanadada huyu wa Kikalenjin kwa uthubutu wake kutumia lugha fasaha na ndio maana kwa roho kunjufu nimetumia muda wangu kujaribu kurekebisha kasoro ndogondogo lakini kiswahili chake ni kizuri na nina uhakika akiendelea kujitahidi atamudu uhandishi wa kiswahili fasaha na murua.
Great, more negativity. Je,mnaweza kuwacha uchokozi?Sisi Wakenya tukonao forum yetu ambayo tunaweza kujadiliana shida zinaokuba nchi yetu.Asanteni.
__________________
Bongo pride annihilator
mwanamwiwa no está en línea   Reply With Quote
Old October 28th, 2012, 06:47 AM   #8
Geza Ulole
BANNED
 
Join Date: May 2010
Posts: 1,768
Likes (Received): 3

makala hii imeandikwa na mwanadada Mkenya nilichofanya ni kusahihisha makosa madogo ya uandishi wa lugha ya Kiswahili, Hamna uchokozi hapa
Geza Ulole no está en línea   Reply With Quote
Old October 28th, 2012, 04:53 PM   #9
mwanamwiwa
Registered User
 
mwanamwiwa's Avatar
 
Join Date: Sep 2008
Posts: 9,550
Likes (Received): 136

Quote:
Originally Posted by Geza Ulole View Post
makala hii imeandikwa na mwanadada Mkenya nilichofanya ni kusahihisha makosa madogo ya uandishi wa lugha ya Kiswahili, Hamna uchokozi hapa
Have it your way,just dont go crying to the mods.
__________________
Bongo pride annihilator
mwanamwiwa no está en línea   Reply With Quote
Old October 29th, 2012, 01:35 AM   #10
Dhuks
Registered User
 
Dhuks's Avatar
 
Join Date: May 2011
Location: Away from the drones
Posts: 3,232
Likes (Received): 147

We can see through your narrow prism and hate. While we are at it dont take anything intended for Kenyan audience and try and make it look like the audience was Tanzanian, kufungasha virago is as foreign to kenyans as chopsticks.There are things called lahaja and you should know better.
__________________
<<The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts while the stupid ones are full of confidence>>>>
Dhuks está en línea ahora   Reply With Quote
Old October 29th, 2012, 08:08 AM   #11
Geza Ulole
BANNED
 
Join Date: May 2010
Posts: 1,768
Likes (Received): 3

Quote:
Originally Posted by Dhuks View Post
We can see through your narrow prism and hate. While we are at it dont take anything intended for Kenyan audience and try and make it look like the audience was Tanzanian, kufungasha virago is as foreign to kenyans as chopsticks.There are things called lahaja and you should know better.
well Mwananchi is a Tanzanian newspaper and she even said it, She a Kenyan columnist covering Kenyan affairs in a Tanzanian newspaper! I don't blame u, ur Swahili knowledge is poor! Nothing sinister just corrected her fewer errors in her Swahili though i acknowledge hers is much better compared to most of u!
Geza Ulole no está en línea   Reply With Quote
Old October 29th, 2012, 10:49 AM   #12
mwanamwiwa
Registered User
 
mwanamwiwa's Avatar
 
Join Date: Sep 2008
Posts: 9,550
Likes (Received): 136

Quote:
Originally Posted by Geza Ulole View Post
well Mwananchi is a Tanzanian newspaper and she even said it, She a Kenyan columnist covering Kenyan affairs in a Tanzanian newspaper! I don't blame u, ur Swahili knowledge is poor! Nothing sinister just corrected her fewer errors in her Swahili though i acknowledge hers is much better compared to most of u!
Keep off Kenyan affairs.We wont ask nicely again.
__________________
Bongo pride annihilator
mwanamwiwa no está en línea   Reply With Quote
Old October 29th, 2012, 01:45 PM   #13
Geza Ulole
BANNED
 
Join Date: May 2010
Posts: 1,768
Likes (Received): 3

My language my country my newspaper....
Geza Ulole no está en línea   Reply With Quote
Old October 29th, 2012, 07:08 PM   #14
bantugbro
Olduvai Gorge
 
bantugbro's Avatar
 
Join Date: Feb 2011
Posts: 2,453
Likes (Received): 92

Quote:
Originally Posted by Geza Ulole View Post
Kwa kuanza tu leo nimesoma makala hii nzuri na nimefurahi kuona mwanadada wa Kikenya akijaribu kuandika na niseme ukweli ameandika vizuri japokuwa kuna makosa madogo madogo ningependa kumsahihisha kama nguli wa Kiswahili! Makala hii inapatikana hapa

Kenya sasa katika hofu mpya ya vikundi hatari

Rais Mwai Kibaki wa Kenya akila kiapo baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2002.

IN SUMMARY ["KWA MUHTASARI" au "KWA KIFUPI"]

Uchunguzi uliofanywa na kamati hiyo ulionyesha kwamba vikundi hivi vinadhaminiwa na baadhi ya viongozi wanasiasa haswa wanaogombea urais. Wanasia [wanasiasa au Wanasiasa kwa vile ni jina] watatu sasa hivi wanachunguzwa kuhusaiana na habari kwamba wanagharamia shughuli za vikundi hivi. Inasikitisha kwamba, uchunguzi wa kamati hiyo pia ilipata habari kwamba baadhi ya wakuu wa polisi katika Mkoa wa Nyanza na kwingineko hulipwa na vikundi hivi ili visichukuliwe hatua za kisheria.

NIMEKUWA nikitafuta mada nzuri ya kuchambua juma hili nje ya uchaguzi wa kenye [Kenya kwa vile ni nchi] sijafanikiwa kuipata. Nchi yangu ambayo huwa nahimizwa kila mara nijivunie inazama katika bahari ya hofu, sintofahamu na giza totoro. Ni kama tunaishi katika ombwe tupu.

Kama Kenya ingekuwa katika nyakati za Agano la Kale la Bibilia, ingekuwa jiji la Nineveh linalopatikana katika Kitabu cha Yona. Kwa wale wasiobobea katika mafundisho ya Bibilia, Nineveh ni jiji lililokuwa limejaa uozo uliotokana na viongozi waliokuwa na damu nyingi mikononi mwao, Mungu hakufurahishwa.

Aliamua kuingilia kati na kumtumia mtumishi wake Yona, mwana wa Amittai aende awaubirie raia wa jiji hilo ili wabadili mienendo yao. Yona, kwa kuwa alifahamu yaliyokuwa yakiendelea katika jiji hilo, hakutaka kujiingiza katika eneo hilo lenye dhambi nyingi. Aliamua kwamba hawezi kupoteza muda wake kwa watu wenye masikio lakini hawasikii, watu wenye macho lakini hawataki kuona. Kwa hiyo, alifunganya [alifungasha] virago na kupanda meli katika mji wa Joppa na kutorokea eneo linaloitwa Tarshish. Juhudi zake hata hivyo ziliambulia patupu kwa kuwa mwishowe, alilazimishwa na Mungu kwenda Nineveh na kuiokoa. Tofauti na Nineveh ambayo viongozi wake wa kisiasa, raia na mfalme wao walivaa magunia na kujipaka majivu na kutubu dhambi za mauaji ya kupindukia na kusamehewa hatimaye, viongozi wa Kenya hawasikii la mchimba madini wala la mtega maji kisimani [binafsi sijawahi sikia msemo huu na kama upo basi alipaswa kusema "mteka" na si "mtega" nachojua mimi kuna msema unafanana na huu unasema "hasikii/hawasikii la Mhadhini wala la Mhadhina"]. Aliyesema kuwa sikio la kufa halisikii dawa, alikuwa na Kenya akilini mwake.

Kenya ni nchi ambayo ingawa imebarikiwa na raslimali [rasilimali japokuwa hata raslimali inaruhusiwa pia]na maliasili ya kila aina, inatambaa kwa magoti kwa sababu ya kulemewa [kuelemewa] na shida chungu nzima za kujitafutia na zinazokuwa na chimbuko lake katika siasa duni. Ni masikitiko makuu.
Nchi imezama katika migomo ya kila aina. Walimu, madakatari na sasa marubani. Hata wauza ngono (wanawake kwa waume) wamekuwa na ujasiri wa kustaajabisha. Hivi majuzi waliandamana katika barabara za mji wa Nairobi na Thika (kilomita chache kutoka Nairobi) mchana kutwa wakibeba mabango makubwa wakitaka 'haki zao' kwa kuwa wanatoa huduma muhimu kwa taifa. Waliohojiwa na wanahabari walilalama kwamba, siku hizi wanapofanya 'biashara' yao, usalama huwa umezorota na wakaomba Serikali iwape ulinzi wa kutosha wakiongeza kwamba wako tayari kulipa ushuru kuchangia katika ukuaji wa uchumi! Lahaula!

Mashoga na wasenge [hapa ilipaswa aseme na Wasagaji maana usenge ni yule mwanaume asiye na nguvu za kiume na mara nyingi hajamiaani na mwanaume mwingine] wamekuwa wakisisitiza kwamba wanataka wapewe haki zao kama Wakenya wengine. Bado mambo! Babu yangu lazima anapinduka [neno sahihi hapa ni "anajeuka"; kupinduka hutumika mara nyingi kumaanisha ajali] kwenye kaburi lake kwa sababu ya vituko hivi.

Mbali na vikundi hivyo kutaka haki zao, ripoti kuhusu usalama nchini iliyotolewa wiki jana na Kamati ya Kitaifa inayotazama masuala ya wanahabari ilitia hofu zaidi. Hali ya usalama katika Jiji la Kisumu imewatisha wataalamu wa masuala ya kiusalama. Vikundi haramu vinavyojiita China 32 Group na America Marines vimeibuka na kuanzisha mitandao ya ghasia ambayo bila shaka ni mwanzo tu wa ghasia halisi zinazolenga kuhatarisha uchaguzi mkuu wa Machi 4, mwaka ujao.

Uchunguzi uliofanywa na kamati hiyo ulionyesha kwamba vikundi hivi vinadhaminiwa na baadhi ya viongozi wanasiasa [Wanasiasa Viongozi] haswa wanaogombea urais [Urais]. Wanasia watatu sasa hivi wanachunguzwa kuhusaiana [kuhusiana] na habari kwamba wanagharamia [wanagharimia] shughuli za vikundi hivi. Inasikitisha kwamba, uchunguzi wa kamati hiyo pia ilipata habari kwamba baadhi ya wakuu wa polisi katika Mkoa wa Nyanza na kwingineko hulipwa na vikundi hivi ili visichukuliwe hatua za kisheria.

Ili kudhihirisha ukwel [ukweli]huu wa mambo, kikundi cha American Marines wiki jana kilinaswa na kituo kimoja cha runinga kikivamia Kituo cha Polisi jijini Kisumu na kumwachilia huru mmoja wao aliyekuwa ametiwa nguvuni kwa kuhusika katika ghasia zilizokumba jiji hili kwa takriban siku mbili.

Ajabu ni kwamba, maafisa wa polisi walitazama tu bila kufanya lolote, hali inayodhihirisha kwamba, hawana nguvu yoyote ya kuwaadhibu ingawa wana jukumu la kufanya hivyo. Kwa sababu ya ukosefu wa usalama, wawekezaji katika jiji hili sasa hawana uhuru wowote wa kuendesha shughuli zao bila uoga [uwoga ila hata uoga inakubalika baadhi ya sehemu] wa kushambuliwa.

Hali ni mbaya lakini wale waliopewa jukumu la kuhakikisha amani na utengamano wanapuuza ["wanapuuzia" japokuwa hata wanapuuza hutumika pia ila kwa kimakosa nadhani] kazi zao na kuwaacha wawekezaji na wakazi katika hatari ya kupoteza mali na maisha yao. Kwa sura kama hii inayojitokeza [iliyojitokeza kwa vile ni tukio lililokwishapita] miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu, Wakenya wana sababu ya kuhofia maisha yao.
Si ajabu kwamba wawekezaji wa kimataifa pamoja na wadhamini wa kimaendeleo wameelezea hofu yao kuhusu hatma ya Kenya inapojitayarisha kupiga kura mapema mwaka ujao.

Kenya iko mbioni kupanua uchumi wake haswa kufuatia kupatikana kwa raslimali ya mafuta ambayo wawekezaji wa kimataifa wanategemewa kuyachimba. Pia, ujenzi wa Bandari Kuu ya Lamu itakayofungua mtandao mkubwa wa biashara inayotegemea mafuta kati ya Kenya, Sudan Kusini na Ethiopia, ni kivutio cha wawekezaji. Lakini, watawekeza vipi ikiwa mwambao wa pwani unazama katika lindi la ghasia za kisiasa?

Aliyekuwa waziri wa Utalii, Bw. Najib Balala anasema kwamba, vikundi hivi vimekodishwa na baadhi ya wanasiasa ili kuzuia wanasiasa wengine wasifanye kampeni.
Ikiwa waziri mzima anavamiwa mchana kutwa ilhali ana walinzi, je, raia wa kawaida watafanya nini? Hali hii inatia tumbojoto wengi. Kwa hivyo, vyombo vya ulinzi havina budi kuweka darubini zao katika pembe zote za nchi ili visije vikachelewa. Ripoti ya kamati yasema kwamba, huenda ghasia za mwaka ujao zikawa mbaya zaidi kuliko za 2007/8.

Hili lanifanya kuhisi kwamba natembelewa na konokono mwilini mwote. Nakumbuka 2007 binti yangu aliponea chupuchupu baada ya kujeruhiwa begani kwa kisu alichorushiwa na mvulana wa jirani yangu. Kwa kuchelea kuuliwa, ilitulazimu tuhamie kwingineko kwa ghafla huku tukiacha kila kitu nyuma. Kosa la mwanangu lilikuwa kwamba ni Mkalenjin na jirani yangu Mkikuyu hakuona kwamba alikuwa na haki ya kuishi.

Kila ninapoona alama hiyo ya kisu, ninakumbuka kwamba hatuko salama kwa sababu ya 'kosa' la kuzaliwa Wakalenjin. Binti yangu amenisihi mara nyingi tuhame Kenya kwa muda wakati wa uchaguzi mkuu mwaka ujao. Kwa sababu ya usalama wake, nina mpango wa kuhama. Sitaki kushuhudia niliyoyashuhudia Desemba 28, 2007 na siku zilizofuata. Niliona miili ya Wajaluo bila sehemu za siri kwa kuwa zilikuwa zimekatwa na wavamizi wao Wakikuyu waliowatahiri kwa panga, shoka na chupa zilizovunjwavunjwa. Niliona mambo ambayo sitayasahahu daima dawama [sijawahi sikia neno hili nguli wengine wa lughawanaweza saidia hapa].

Kuna wanamuziki waliotunga nyimbo kuhusu Wajaluo wasiotahiri na kwamba kamwe hawawezi kuongozwa na watu wasiotahiri. Je, Waziri Mkuu, Raila Odinga akishinda uchaguzi wa mwaka ujao watu hao watafanya nini? Bila shaka kutakuwa na umwagikaji wa damu lakini polisi wakiweka usalama na waache kuwa na upendeleo na ubaguzi katika huduma zao kwa raia na nchi, kutakuwa na amani ya kudumu. Lakini pia, polisi hawatweza [hawataweza] kuwa kila mahali. Kwa hivyo, jukumu kubwa liko mabegani mwa raia. Tuache chuki na ukabila.

Juzi, walipokuwa wakihudhuria mkutano Umoja wa Mataifa kuhusu usalama, Rais Mwai Kibaki na Naibu wa Waziri Mkuu, Musalia Mudavadi walikuwa na wakati mgumu wa kuelezea ulimwengu kuhusu wanachofanya kuhakikisha kwamba uchaguzi utakuwa wa amani na haki.

Wiki hii, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa, Kofi Annan ataandamana na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Benjamin Mkapa katika ziara ya Kenya. Wawili hao watakutana na viongozi wa nyadhifa za juu serikalini kujadili uchaguzi wa mwaka ujao na ajenda kuu itakuwa masuala ya usalama wakati wa uchaguzi. Hii yaonyesha kwamba, macho yote ya dunia yako Kenya.

Waziri wa Usalama wa Ndani, Bw. Katoo Ole Metito ametoa onyo kali kwa vikundi hivi vizingatie sheria au vione cha mtema kuni. Kutokana na hali hii ya kudorora kwa usalama, maafisa 11 wa polisi wamemwaga unga kwa kuzembea kazini. Ingawa hii ni njia moja ya kuimarisha usalama, mengi yanahitajika kufanywa.

Maoni: Nimetiwa hamasa na mwanadada huyu wa Kikalenjin kwa uthubutu wake kutumia lugha fasaha na ndio maana kwa roho kunjufu nimetumia muda wangu kujaribu kurekebisha kasoro ndogondogo lakini kiswahili chake ni kizuri na nina uhakika akiendelea kujitahidi atamudu uhandishi wa kiswahili fasaha na murua.
Kwa kweli gazeti la Mwananchi limeniangusha sana, yaani wanaacha typos nyingi kiasi hichi ziende kwenye presss...
__________________
"...your behind-the-keyboard insinuations will get good people banned for trivial reasons, please don't start with me..."
bantugbro no está en línea   Reply With Quote
Old October 29th, 2012, 10:57 PM   #15
mwanamwiwa
Registered User
 
mwanamwiwa's Avatar
 
Join Date: Sep 2008
Posts: 9,550
Likes (Received): 136

Quote:
Originally Posted by Geza Ulole View Post
My language my country my newspaper....
Mwananchi and Swahili do not belong to you.Keep off Kenyan affairs, its that simple.
__________________
Bongo pride annihilator
mwanamwiwa no está en línea   Reply With Quote
Old October 30th, 2012, 07:24 AM   #16
Dhuks
Registered User
 
Dhuks's Avatar
 
Join Date: May 2011
Location: Away from the drones
Posts: 3,232
Likes (Received): 147

Quote:
Originally Posted by Geza Ulole View Post
well Mwananchi is a Tanzanian newspaper and she even said it, She a Kenyan columnist covering Kenyan affairs in a Tanzanian newspaper! I don't blame u, ur Swahili knowledge is poor! Nothing sinister just corrected her fewer errors in her Swahili though i acknowledge hers is much better compared to most of u!
D*ck measuring contests are for juveniles and i am well past that. Its not so hard to discuss Swahili in a Tanzanian forum without involving anything Kenyan
There are other unnecessary corrections you made that i would have pointed out but knowing you i never wanted to involve myself in drawn out contest.
__________________
<<The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts while the stupid ones are full of confidence>>>>

Last edited by Dhuks; October 30th, 2012 at 07:32 AM.
Dhuks está en línea ahora   Reply With Quote
Old October 30th, 2012, 09:15 PM   #17
mwanamwiwa
Registered User
 
mwanamwiwa's Avatar
 
Join Date: Sep 2008
Posts: 9,550
Likes (Received): 136

Quote:
Originally Posted by Dhuks View Post
Its not so hard to discuss Swahili in a Tanzanian forum without involving anything Kenyan
__________________
Bongo pride annihilator
mwanamwiwa no está en línea   Reply With Quote
Old October 30th, 2012, 10:31 PM   #18
Geza Ulole
BANNED
 
Join Date: May 2010
Posts: 1,768
Likes (Received): 3

Quote:
Originally Posted by mwanamwiwa View Post
Great, more negativity. Je,mnaweza kuwacha (kuacha) uchokozi?Sisi Wakenya (hupaswi/hauhitaji kutumia sisi halafu Wakenya)tukonao (tuna Wakenya) katika forum (jukwaa) yetu ambayo tunaweza kujadiliana shida zinaokuba (sijawahi sikia hili neno naona ulimaanisha "zinazoikabili") nchi yetu.Asanteni.
U r welcome

Last edited by Geza Ulole; October 30th, 2012 at 11:20 PM.
Geza Ulole no está en línea   Reply With Quote
Old October 30th, 2012, 10:54 PM   #19
mwanamwiwa
Registered User
 
mwanamwiwa's Avatar
 
Join Date: Sep 2008
Posts: 9,550
Likes (Received): 136

Asante sana.Kiswahili changu sio sanifu kwasababu sijazungumza kwa miaka kadhaa.Wakenya wenzagu ni afadhali kwasababu wanakitumia kila siku.
__________________
Bongo pride annihilator
mwanamwiwa no está en línea   Reply With Quote
Old October 31st, 2012, 10:05 AM   #20
Geza Ulole
BANNED
 
Join Date: May 2010
Posts: 1,768
Likes (Received): 3

Quote:
Originally Posted by mwanamwiwa View Post

Asante sana.Kiswahili changu sio sanifu kwasababu sijazungumza kwa miaka kadhaa.Wakenya wenzagu ni afadhali kwasababu wanakitumia kila siku.
Geza Ulole no está en línea   Reply With Quote

Reply

Thread Tools
Display Modes

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off

All times are GMT +2. The time now is 11:00 AM.

Powered by vBulletin® Version 3.8.7
Copyright ©2000 - 2013, vBulletin Solutions, Inc.
Feedback Buttons provided by Advanced Post Thanks / Like v3.1.2 (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2013 DragonByte Technologies Ltd.
vBulletin Optimisation provided by vB Optimise (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2013 DragonByte Technologies Ltd. (Resources saved on this page: MySQL 7.69%)

SkyscraperCity - In Urbanity We Trust

Hosted by Blacksun, dedicated to this site too!
Forum server management by DaiTengu