Mwanza|Kigongo-Busisi Mega Bridge|3.2 km| USD 300.4 Million|U/C - Page 6 - SkyscraperCity
 
forums map | news magazine | posting guidelines

Go Back   SkyscraperCity > Continental Forums > Africa > East Africa > Tanzania > Projects and Construction Updates > Mwanza

Global Announcement

As a general reminder, please respect others and respect copyrights. Go here to familiarize yourself with our posting policy.

Reply

Thread Tools
Old December 12th, 2019, 03:38 PM   #101
capripoint
Registered User
 
Join Date: Sep 2015
Posts: 100
Likes (Received): 36

Pia kuna ujenzi wa reli standard gauge utaanzia pale fela, mpaka Isaka, soon tenda inatangazwa, tunasubili trillion 18 za mchina zifike, ina maana hayo maeneo yanaenda kupamba moto
capripoint no está en línea   Reply With Quote
Sponsored Links
Advertisement
 
Old December 12th, 2019, 03:48 PM   #102
capripoint
Registered User
 
Join Date: Sep 2015
Posts: 100
Likes (Received): 36

Kitu kimoja tu nachoona serikali haikuwa strategic ni ujenzi wa stand za mabus, kwa hili nitabishana na watalaam hadi kesho, hawakufikili sahihi, kama umeshaamua station kuu ya standard gauge itaishia fela, na ndio itakapojengwa abilia watakuwa wanashukia hapo kwann ujenge stand ya mabus nyamhongolo na nyegezi? Kwa maoni yangu wangejenga stand kubwa mabus moja tu kwa jiji la Mwanza pale FELA, sababu abiria wa standard gauge watakuwa wengi sana na lazima njia ya kati mabus yatapungua sana, nani atumie masaa 16 hadi 18 kwenda Dar wakati kuna alternative ya masaa 10? Pia hiyo stand ingejengwa fela ingehudumia jiji na mikoa ya Jirani kirahisi zaidi, kikubwa wangejenga barabara ya lami kuunganisha FELA na KISHIRI ambayo ni shortcut sana pale, daladala zingefika toka pande zote za jiji kirahisi kabisa kuhudumia watu, maeneo Yale ya nyegezi na nyamhongolo wangeyaacha kwa uwekezaji kama kujenga malls etc,
__________________

mat23, swai007 liked this post
capripoint no está en línea   Reply With Quote
Old December 14th, 2019, 07:24 PM   #103
swai007
Registered User
 
Join Date: Dec 2015
Posts: 15
Likes (Received): 5

Ni sahihi kabisa wazo la kuwa na stand kuu ya jiji la Mwanza moja ya kisasa eneo la Fela kuliko kuwa nazo mbili zisizokuwa na tija. Wakija kushtuka muda umeenda na eneo la kujenga stand itabidi wa sogee Koromije
__________________

capripoint liked this post
swai007 no está en línea   Reply With Quote
Old December 14th, 2019, 08:36 PM   #104
capripoint
Registered User
 
Join Date: Sep 2015
Posts: 100
Likes (Received): 36

Quote:
Originally Posted by swai007 View Post
Ni sahihi kabisa wazo la kuwa na stand kuu ya jiji la Mwanza moja ya kisasa eneo la Fela kuliko kuwa nazo mbili zisizokuwa na tija. Wakija kushtuka muda umeenda na eneo la kujenga stand itabidi wa sogee Koromije
Hahaha, ni yale yale kama ya Dar es Salaam stand inakuwa inahama mpaka wmefika mbezi, hiyo inaonyesha hamna mipango endelevu, au watu wa mipango hawafikilii sawa sawa, treni itakuwa inabeba maelfu ya watu, unasema itaanzia fela, sasa kwann usijenge stand kubwa huko, ??
__________________

swai007 liked this post
capripoint no está en línea   Reply With Quote
Old December 14th, 2019, 08:39 PM   #105
capripoint
Registered User
 
Join Date: Sep 2015
Posts: 100
Likes (Received): 36

Sababu watu wote kanda ya ziwa wa mikoa kuanzia kagera, Mara, Geita, na Mwanza yenyewe lazima wataitumia sana standard gauge, mwendo wa kwenda Dar, Dodoma, Morogoro utapungua sana
capripoint no está en línea   Reply With Quote
Old December 14th, 2019, 08:59 PM   #106
rockycity
Registered User
 
Join Date: Dec 2010
Posts: 696
Likes (Received): 1072

Sgr isipofika mza mjini hi usumbufu kwa abiria na kuongeza foleni, sielewi kwa nini watu mnashabikia sgr ikomee fela
rockycity no está en línea   Reply With Quote
Old December 15th, 2019, 07:02 AM   #107
capripoint
Registered User
 
Join Date: Sep 2015
Posts: 100
Likes (Received): 36

Quote:
Originally Posted by rockycity View Post
Sgr isipofika mza mjini hi usumbufu kwa abiria na kuongeza foleni, sielewi kwa nini watu mnashabikia sgr ikomee fela
Kiongozi SGR ikifika Mwanza mjini italeta usumbufu Mkubwa sana, imagine kwa sasa Mwanza Mjini kuna msongamano sn kipindi cha j3 mpaka jmosi, movement ya magari huwa ni Shida sana, hata parking tu unaweza tafuta ukakosa, sasa SGR ijengwe pale njia ya station itakuwaje hao watu, msongamano wa watu na magari, treni moja inaweza kuwa mbadala wa mabus hata zaidi ya 40 au 50, parking ya magari pale station Mwanza watajenga wapi? Sababu watu lazima waje kupanda, ni wazo zuri sana kujenga fela pale pangeitaji kubomoa na kulipa watu fidia , ili kupata eneo, pia hauwezi rundika physical and economic infrastructure sehemu moja ya mji, wamezingatia pia kuepusha ajali, watu wamejenga sana kandokando ya reli kuanzia usagara yenyewe mpaka Mwanza Mjini , sasa kwa speed ya SGR ingetakiwa kujenga daraja LA juu, ipite juu kama walivyofanya dar es salaam treni itakapokuwa inaingia Mjini!
capripoint no está en línea   Reply With Quote
Old December 15th, 2019, 12:49 PM   #108
rockycity
Registered User
 
Join Date: Dec 2010
Posts: 696
Likes (Received): 1072

Quote:
Originally Posted by capripoint View Post
Kiongozi SGR ikifika Mwanza mjini italeta usumbufu Mkubwa sana, imagine kwa sasa Mwanza Mjini kuna msongamano sn kipindi cha j3 mpaka jmosi, movement ya magari huwa ni Shida sana, hata parking tu unaweza tafuta ukakosa, sasa SGR ijengwe pale njia ya station itakuwaje hao watu, msongamano wa watu na magari, treni moja inaweza kuwa mbadala wa mabus hata zaidi ya 40 au 50, parking ya magari pale station Mwanza watajenga wapi? Sababu watu lazima waje kupanda, ni wazo zuri sana kujenga fela pale pangeitaji kubomoa na kulipa watu fidia , ili kupata eneo, pia hauwezi rundika physical and economic infrastructure sehemu moja ya mji, wamezingatia pia kuepusha ajali, watu wamejenga sana kandokando ya reli kuanzia usagara yenyewe mpaka Mwanza Mjini , sasa kwa speed ya SGR ingetakiwa kujenga daraja LA juu, ipite juu kama walivyofanya dar es salaam treni itakapokuwa inaingia Mjini!
Dar kuna msongamano mkubwa wa magari kushinda mwanza, kwa nini sgr haikukomea pugu? Sgr lazima ifike mza mjini kukionekana kuna ulazima kuwa na kituo fela basi kijengwe na mza mjini kuwe na kituo, kunaweza kuwa na Treni zinazofanya kazi Kati ya mza na fela, but sgr ikikomea fela itasabsbisha usumbufu kwa abiria, yaani unatoka dar mpaka fela for 8hrs then unahangaika kuingia mza mjini may be unatumia saa moja na nusu Hadi mawili, sehemu uliotakiwa kutumia dk 20.
Kumbuka uwanja wa ndege mza unategemewa kuwa busy na ndege za kimataifa kuna watu wametoka shinyanga tabora nk wanawahi ndege unamshushia fela, imagine umbali wa kutoka fela kwenda airport
Meli ya mv Victoria na mv mwanza zitaanza kazi, watu wa bukoba wanaenda kuunganisha na meli unawashushia fela, foleni itakuwa kubwa kuliko unayoiona Sawa.
Duniani kote Treni hurahisisha usafiri na kupunguza foleni, cha muhimu kiwepo kituo kidogo fela, na kama kuna foleni barabara zipanuliwe labda lingine ni kuomba trc waweke Treni ya abiria wa mjini kama dar, iwe inatoka mza mjini kwenda fela or beyond.

Trc wanataka vituo vyao viwe na maduka pamoja na biashara zingine ukiweka fela biashara gani itafanyika huko kama sio hasara tu.

Parking haiwezi kukosekana kuna eneo kubwa Sana pale station mza, na parking sio lazima iwe ardhini inaweza kujengwa ghorofa la parking hapo station na itawasaidia trc kuingiza mapato maana hata watu wa maofisi pale mjini wanaweza itumia,

Mwanza masterplan inaonyesha Brt terminal kubwa itakuwa hapo karibu na station, so ni rahisi kuunganisha usafiri kwa baadae.
rockycity no está en línea   Reply With Quote
Old December 15th, 2019, 01:20 PM   #109

Mawazo yako ni mazuri pia, ila kama SGR itaenda Mjini lazima lile eneo walipange upya, hata compensation itatakiwa ifanyike kupata eneo ambalo ni meaningful, na upanuzi wa barabara, otherwise Mwanza Mjini kutakuwa na kero ya hatari
capripoint no está en línea   Reply With Quote
Old December 19th, 2019, 06:23 AM   #110
swai007
Registered User
 
Join Date: Dec 2015
Posts: 15
Likes (Received): 5

Hata SGR ikiishia Fela sio mbaya, kwa mikakati iliyopo ya kuboresha barabara kuu na kuongeza njia mpya foleni zitapungua kwenye barabara kuu za Makongoro, Nyerere na Kenyatta. Kuna njia mpya ya Nyashishi-Kishiri, Kishiri-Fela. Nyamhongolo-Mbogasaba (Buswelu) na Nyanza Bottling Buswelu na Mji Mwema - Big bite. Ni moja ya njia zilizopo kwenye mpango wa maboresho. Ambazo zikikamilika kwa kiasi kikubwa zitapunguza foleni kwenye njia Kuu tatu za jiji
swai007 no está en línea   Reply With Quote
Old December 19th, 2019, 07:05 AM   #111
capripoint
Registered User
 
Join Date: Sep 2015
Posts: 100
Likes (Received): 36

Nyanza Bottling-Buswelu na Mji mwema -big bite hizo tayari zimejengwa,
__________________

swai007 liked this post
capripoint no está en línea   Reply With Quote
Old December 19th, 2019, 07:06 AM   #112
capripoint
Registered User
 
Join Date: Sep 2015
Posts: 100
Likes (Received): 36

Hata Mimi nakubaliana na wewe, kikubwa infrastructure tu ziwe improved, kama wakipanua barabara ya Mwanza Mjini to Usagara sioni Shida SGR ikiishia Fela
__________________

swai007 liked this post
capripoint no está en línea   Reply With Quote
Old December 19th, 2019, 11:50 AM   #113
aron masatu
Registered User
 
Join Date: Aug 2019
Posts: 16
Likes (Received): 5

SGR station kubwa ya kisasa inaishia fela ila itafika mjini kwa ajili ya kushusha mizigo bandari ya mwanza south af kitu kingine stesheni kubwa itakuwa fela niliwah msikia mkuu wa mkoa mongela akilisema hilo kwn kuna mkakat wa kutengeneza wilaya nyngne maeneo ya kuanzia usagara,fela,bukumbi,ng'ombe,kolomije had maeneo ya kisesa hyo wilaya itakuwa ndani ya jiji
__________________

swai007, capripoint liked this post
aron masatu no está en línea   Reply With Quote
Sponsored Links
Advertisement
 
Reply

Thread Tools

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Aviação | Notícias EricoWilliams Transporte Aéreo 4900 Yesterday 07:29 PM
Economic News abdeka Économie et développement 5533 Yesterday 01:59 PM

All times are GMT +2. The time now is 07:02 AM.

Powered by vBulletin® Version 3.8.11 Beta 4
Copyright ©2000 - 2020, vBulletin Solutions Inc.
vBulletin Security provided by vBSecurity v2.2.2 (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2020 DragonByte Technologies Ltd.
Feedback Buttons provided by Advanced Post Thanks / Like (Pro) - vBulletin Mods & Addons Copyright © 2020 DragonByte Technologies Ltd.

SkyscraperCity ☆ In Urbanity We trust ☆ about us