SkyscraperCity Forum banner

DAR ES SALAAM |China commercial city project | Approved

15536 Views 32 Replies 15 Participants Last post by  kiligoland
2
Wachina kujenga Dubai ndogo ya Tanzania Ubungo
http://www.mwananchi.co.tz/habari/W...nia-Ubungo/1597578-4096918-ox6ahcz/index.html

Dar es Salaam. China inakusudia kujenga Kituo cha Kisasa cha Kibiashara katika eneo la Ubungo, kikiwa na uwezo wa kukusanya shughuli zote za biashara na mahitaji ya nyumbani.

Kituo ambacho kitakapokamilika kitalifanya Jiji la Dar es Salaam lifahamike kama ‘Dubai ndogo ya Tanzania’.

Pia, kituo hicho ambacho ujenzi wake unatarajiwa kuanza mwaka huu na kukamilika baada ya miezi 15, kinatajwa kuwa tofauti na Soko Kuu la Kariakoo, kitakuwa na zaidi ya maduka 3,000, maghala madogo zaidi 300 na eneo lenye uwezo wa kuhifadhi magari 5,000. Kitajengwa na Kampuni ya LingHang na kusimamiwa na Serikali ya China
.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kampuni ya LingHang, kituo hicho kimepangwa kujengwa kandokando ya eneo kinakoishia mabasi yaendeayo haraka (BRT), kitakuwa na maeneo ya kibiashara kama benki, ofisi, maduka makubwa na muonekano wake umeelezwa utakuwa wa kuvutia.

“Kukamilika kwa kituo hicho cha kipekee katika eneo la Afrika Mashariki, kutafungua ukurasa mpya kwa wafanyabiashara wa ndani na nje kwa sababu sasa wataweza kufanya shughuli zake katika mazingira mazuri na rafiki,” inasema sehemu ya taarifa iliyotolewa na LingHang
.

See less See more
  • Like
Reactions: 3
1 - 20 of 33 Posts
凌航集团与建设公司深入洽谈 中国商业城项目
4月5日,上海凌航实业集团再次到访建设公司,洽谈坦桑尼亚中国商业城项目。 双方一致认为中国商业城项目符合国家“一带一路”战略布局,符合双方拓展非洲市场的发展需 要。中国商业城项目主要功能为具有先进科技、畅通高效、交易便捷、功能齐全、信息灵敏的现代 物流交易平台,既是达累斯萨拉姆市的门户和窗口,又是人流、车流、资金流、物流和信息流的集 散地。该项目得到了坦桑尼亚政府和达累斯萨拉姆议会及有关职能部门的大力支持,应借助国 家“一带一路”发展战略,加强与中非发展基金合作。双方就项目合作达成了初步意向,并确定了项 目推进实施联络人,制定了推进方案。双方还就其它领域的合作事宜进行了深入交流。 凌航集团董事长王香云女士、副总经理刘有志先生、总经理助理杨星,建设公司董事长、总经 理沈桂联、副总经理李永出席此次会谈,公司市场部、上海分公司、铭远设计院相关人员参与会 谈。 市场经营部 许以强
The two sides agreed that the China Commercial City project in line with the national "Road belt initiative” strategic layout.
The main function of the China Commercial City project is the modern logistics trading platform with advanced technology, smooth and efficient, convenient transaction, complete function and information. It is not only the portal and window of the city of Dar es Salaam, but also the flow of people, traffic, Logistics and information flow of the distribution center. The project has been strongly supported by the Tanzanian Government and the Dar es Salaam Parliament and the relevant functional departments, and should strengthen cooperation with the China-Africa Development Fund by means of the national "ROAD BELT” development strategy
Translation from the extract above.
http://www.lcc.cn/index.php?c=article&a=detail&id=1935
  • Like
Reactions: 5
Ninachoogopa ni kuwapa waChina wadhibiti uchumi wetu, hicho kituo yanaweza kuwa yaleyale ya SGR ya Kenya unakuta mpaka wafanyakazi wa chini sana ni haohao.. na mbaya zaidi inakuwa just another place for China to dump their produce.
I doubt magufuli will approve this.
The idea is the same as Bagamoyo port and commercial area. Same concept but different location.building a commercial center near the rail and port. I hope they build it we pay for it and they leave.
I think its already approved and Our President want to create jobs, Those 20k Jobs not something to ignore.
There were similar ideas at Kurasini,wondering what happenned to it..........until i see project groundbreaking then I'll believe it's real.......
  • Like
Reactions: 1
Kariakoo is becoming to pressurized, this would be a welcomed relief
Inatakiwa serikali ipige nyundo maeneo yote kuanzia mburahati manzese kigogo na tandale warasimishe hayo maeneo kwa kujenga kwa mfumo kama kariakoo yaani mafremu kila nyumba ili wananchi wengi wapate sehemu ya kufanyia biashara na juu ziwe nyumba za kuishi yaani ghorofa.
Hapo serikali ingepata pesa nyingi sana na kama
inawezekana watenge eneo kwa ajili ya viwanda.
Na mbagala wafanye hivyo hivyo

Pesa ya kuwalipa hao maelfu ya wakazi utakaowavunjia ipo?
Unajenga kwa mfumo wa ubia kama kariakoo mwekezaji atachukua 50% ili kufidia gharama za ujenzi na hiyo 50% iliyobaki watapewa wananchi hao kama apartment wale wenye nyumba ambazo zina afadhali. Wachache wapewe fidia. Hizo nyumba ziwe ghorofa kumi ili angalau wengi wabaki hapo hapo kwa sababu mwananchi ni rasilimali tosha. Just thinking.

Hili ni wazo zuri, na litasaidia sana kupunguza pressure ya mji kutanuka sana na watu kusafiri kuja katikati kwa ajili ya Manunuzi.. vilevile maeneo haya ya manzese, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Buguruni, Vingunguti ni maeneo mabovu ambayo yapo doomed kuvunjwa, kwa status ya maisha ya Dar tunakoelekea hayo maeneo lazima yapigwe nyundo yajengwe upya..
  • Like
Reactions: 1
Unajenga kwa mfumo wa ubia kama kariakoo mwekezaji atachukua 50% ili kufidia gharama za ujenzi na hiyo 50% iliyobaki watapewa wananchi hao kama apartment wale wenye nyumba ambazo zina afadhali. Wachache wapewe fidia. Hizo nyumba ziwe ghorofa kumi ili angalau wengi wabaki hapo hapo kwa sababu mwananchi ni rasilimali tosha. Just thinking.
Nimekuwa nikiwaza hivi muda mrefu sana, Pale Manzese kuna Kigorofa fl 7 nikiwa pale juu huwa nawaza jisni nyumba hata 50 zinaweza kuwa replaced na jengo moja hata la floor kumi na kuhifadhi hata familia ya watu 300, Yaani inaweza ku compress Dar iishie vingunguti, Iivuke Mndela road, na Mwenge iwe ndio mwisho wa DAR, lakini angalia palivyo sprawl. mpaka kisaraweee noma sana tungekua na plantations tu za mpung amaeno hayo.
Kucompress mji ni idea nzuri sana inarahisisha hata huduma, watu 300 wakikaa kwenye ghorofa moja ni tofauti na 300 waliotapakaa ambapo, mfano utajenga kipande kifupi cha barabara kuliko wakiwa wametapakaa utahitaji barabara nyingi zaidi nk.

Utafikiri serakali hawalioni hili. Kazi yao kujenga vijumba vya mgongo wa tembo nchi nzima.😀
Utafikiri serakali hawalioni hili. Kazi yao kujenga vijumba vya mgongo wa tembo nchi nzima.😀
mimi ingekuwa amri yangu kazi ya nhc na watumishi housing ingekuwa ni kuondoa makazi ambayo ni unplanned/slums, ingekuwa wanavunja nyumba zilizopo wanajenga ghorofa at least 5fl waliovunjiwa wanapewa then sehemu nyingine unauza na wanajikuta wamebakiwa na eneo kubwa la miradi mingine kwa ardhi ya mjini ambayo ni ghali kununua ila ukitumia plan hiyo unaipata bure au kwa bei chee na si kuanzisha miradi mipya ambayo haiko kwenye standard, huwezi ukajenga nyumba iliyozungukwa na tope kisha unasema makazi ya kisasa, eti kisa tukitengeneza barabara gharama inakuwa kubwa. tanesco na simu mpaka leo hii wanatumia nguzo yaani we acha tu.
Utafikiri serakali hawalioni hili. Kazi yao kujenga vijumba vya mgongo wa tembo nchi nzima.😀
Kweli yaani kama NHC wangeamua kufanya mradi huu wa kujenga maghorofa badala ya kujenga vi mgongo wa tembo ingekuwa bora sana! yaani jiji la DAR limetapakaa vinyumba vingi tena visivyo na hadhi sana!! ni wakati wa Serikali kubadilika sasa!!!:bash:
Hili Jengo ni kawaida mpya ya tz, kwani walijenga stendi ya basi kama hii morogoro. na hii naona itabadilisha mandhari ya ubungo bus stand ingawa ramani haijaenda shule
Hili Jengo ni kawaida mpya ya tz, kwani walijenga stendi ya basi kama hii morogoro. na hii naona itabadilisha mandhari ya ubungo bus stand ingawa ramani haijaenda shule
...believe me, there is more to that building than what the eye can see. All we need is a full/complete render.
  • Like
Reactions: 1
1 - 20 of 33 Posts
This is an older thread, you may not receive a response, and could be reviving an old thread. Please consider creating a new thread.
Top