Skyscraper City Forum banner
481 - 500 of 606 Posts

·
I'll Fly Away/Blue skies.
Joined
·
18,812 Posts
This is why so many ferries accidents happen, that is obviously overcrowded what the hell. No Gov't authority stopping this? I remember riding ferries in 2006 that weren't nearly this crowded
SUMATRA is useless. One of the most useless government organs out there.
 

·
Registered
Joined
·
901 Posts
has to do MORE with poor estimation of time/period for project construction
 

·
Registered
Joined
·
901 Posts
offcourse by the contractors.....incase.of kigamboni bridge the chinese contractor has not yet handed the project to the govt.......
 

·
Registered
Joined
·
706 Posts
sina uhakika sana ila kwa habari za mitaani nimesikia kulitokea ubishani kwenye ujenzi wa daraja la kigamboni, mkuu wa kaya wa sasa akiwa waziri wa ujenzi alipinga gharama za ujenzi wa daraja hilo kuwa ni kubwa, Dau hakupenda na kutokana na ukaribu wake na mkuu wa kaya aliyepita ilibidi magufuli ahamishwe wizara kwanza na msaidizi wake akapelekwa India ndipo tender ya ujenzi wa daraja ikapita, kama ni kweli yawezekana hii ndio sababu

kama nilivyotangulia kusema ni habari za mitaani
 

·
Registered
Joined
·
3,240 Posts
Truth is. Nssf walikuwa watoe 60% na serikali itoe 40% mpaka daraja linamalizika serikali haijatoa hiyo 40% yake.


Obviously gharama za ujenzi zitakuwa kubwa tuuu
 

·
Registered
Joined
·
3,240 Posts
Akina magori,sefue, jenista mhagama, shitindi na Charles Kitwanga nido walimpelekea taarifa za uwongo JPM kuhusu Dau. Kisha wakapanga Mama ambaye ni naturalised Tanzanian kuchukua hiyo nafasi...huyo mama allegedly ni raia wa UGANDA

Watu wa usalama wakampa ukweli
 

·
Registered
Joined
·
14 Posts
DARAJA LA KIGAMBONI KUFUNGULIWA RASMI APRILI.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amesema daraja la Kigamboni litafunguliwa rasmi Aprili, 16 mwaka huu.
 

·
Registered
Joined
·
14 Posts
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amesema daraja la Kigamboni litafunguliwa rasmi Aprili, 16 mwaka huu.


Amesema kazi inayoendelea sasa hivi ni kupitisha magari maalum kwa ajili ya kupima ubora wa daraja hilo ili kujiridhisha kabla ya kukabidhiwa rasmi Serikalini.

Amewataka watumiaji wa daraja hilo kuwa waangalifu, kulinda miundombinu na kuepuka vitendo vya hujuma ili lidumu kwa muda mrefu.

“Daraja hili lina urefu wa mita 640, barabara sita, tatu zinapanda na tatu zinashuka, hivyo tunawaomba wananchi watakaovuka kuzingatia usafi na ustaarabu”, amesema Profesa Mbarawa.

Amebainisha kuwa Serikali itaweka sheria kali kwa wote watakaokiuka matumizi sahihi ya daraja hilo na kusisitiza umuhimu wa madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani wanapovuka katika daraja hilo.

Meneja Msimamizi wa ujenzi wa daraja hilo Eng. Karim Mattaka amesema wataalam wanaendelea na taratibu za kulipima daraja hilo ili kujiridhisha kama linamudu kupitisha uzito uliokusudiwa kabla ya kulikabidhi kwa Serikali mapema mwezi ujao.

Amesema awamu ya kwanza ya kulipima daraja hilo imekamilika na sasa wanaendelea na awamu ya pili hadi watakapomaliza awamu nne ili kujiridhisha kabla ya kuanza kutumika.

Takribani shilingi bilioni 216 zimetumika katika ujenzi wa daraja hilo linalotazamiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa abiria na magari katika kivuko cha Magogoni na Kigamboni.
 
481 - 500 of 606 Posts
Top