Skyscraper City Forum banner
1 - 6 of 6 Posts

·
Registered
Joined
·
3,240 Posts
Sasa bwana mwinyi, kuna jengo unalolipenda?? Labda angalia majirani wetu wa kigali, au kampala...majengo kama haya yamesambaa kila sehemu...alafu wanaconsider modern
soma posts zangu kwa makini utaona

yapo majengo kibao ninayoyakubali

tatizo standars zangu ziko so high wabongo wanaona taabu kwa nini sikubali haya madude yaliyo kuwa half baked.
 
1 - 6 of 6 Posts
Top