SkyscraperCity banner

1 - 10 of 10 Posts

·
Registered
Joined
·
989 Posts
Naona baada kupata kifungua kinywa hapo Chef Asili ukatukumbuka kwa picha Mubashara.
Asante sana Lake zone.

Niko Dar, nitapitia hapo Dom mtu Wangu nadhani Friday, ni pm tupeane number
 
·
Registered
Joined
·
332 Posts
Discussion Starter · #5 ·
Naona baada kupata kifungua kinywa hapo Chef Asili ukatukumbuka kwa picha Mubashara.
Asante sana Lake zone.

Niko Dar, nitapitia hapo Dom mtu Wangu nadhani Friday, ni pm tupeane number
Ha ha! Kaka kama ulijua vile, ni kweli nilitokea Chef Asili kupata matunda. Karibu sana kaka nitaku pm
 
1 - 10 of 10 Posts
Top