SkyscraperCity banner

21 - 35 of 35 Posts

·
Registered
Joined
·
556 Posts
Discussion Starter #21
Mwanzoni.. tulipata eneo sehemu inaitwa Nala. Tuliomba ekari 150 tulipewa.

Lakini Mh Rais aliona pengine umbali kutoka Dodoma mjini mpaka Nala ni zaidi ya km 70.. Kwa hiyo akaagiza itafutwe eneo karibu na mji.

Sasa tumepata ekari 300 eneo la Nzuguni.
Source: Maelezo TV
 
·
Moderator
Joined
·
2,981 Posts
Kwa capacity hiyo huo uwanja utakua ndio mkubwa kuliko vyote Africa, itaizidi kidogo FNB stadium ya South Africa. Wakati Mkapa stadium nayo itakua stk top 5 kwa ukubwa in africa.^^^^:cheers:
 
·
Maty
Joined
·
897 Posts
Sijui nani ataujaza huo uwanja. Hapo dar watu elfu sitini na haujai, sasa sijui huko dom nani ataujaza
Future ....plus unatuweka postion nzuri ya ku host bigger sports events like AFCON....with the completion of this we will have two >60k stadiums ...with the renovations of .
CCM Kirumba Mwanza to >30k
And Zanzibar Amani staidum >30k
We can easily host Afcon african cup of nations
 
·
Registered
Joined
·
9 Posts

Do not forget Ally Hassan Mwinyi - Tabora.
It is quite big.
 
21 - 35 of 35 Posts
Top