SkyscraperCity banner

1 - 20 of 22 Posts

·
Registered
Joined
·
332 Posts
Discussion Starter · #6 ·
Type hata idea kidogo ya mjengo utakuwaje!
Kutakuwa na jengo la ofisi (bado sijaconfirm idadi ya fls), pia kutakuwa na jengo la kutangazia matokeo (media house) pamoja na godown la kutunza vifaa vya kupigia kura
NB: The size of the plot is 36,000 sqm
 
1 - 20 of 22 Posts
Top