SkyscraperCity banner

1 - 14 of 14 Posts

·
Registered
Joined
·
981 Posts
Lakezone, ujue hizi ni.project mbili tofauti.
Render iliyopo ni jengo lililokamilika na Mimi nimeshalipanda ktk vikao vya hao wanene aka wakubwa wa mjengoni. Render yake iko pale pale chili ground floor

Inatakiwa thread mpya ya hilli jengo u/c
 
·
Registered
Joined
·
332 Posts
Discussion Starter #8
Lakezone, ujue hizi ni.project mbili tofauti.
Render iliyopo ni jengo lililokamilika na Mimi nimeshalipanda ktk vikao vya hao wanene aka wakubwa wa mjengoni. Render yake iko pale pale chili ground floor

Inatakiwa thread mpya ya hilli jengo u/c
Kaka hilo lililokamilika upande wa kushoto ni la National Audit Office (nadhani ndilo ulilopanda maana lina ofisi kibao pamoja na kumbi za mikutano). Hilo la upande wa kulia ndilo la NHIF, hilo bado linamaliziwa
 
1 - 14 of 14 Posts
Top