Any updates about progress?Tshs. 20 billions allocated for this project, construction to begin in Dec or January # Municipal Director
Hapo ndio ilipo eneo la Nane nane?under construction....
Ukiwez kupata picsunder construction....
Yes, opposite na nane nane groundsHapo ndio ilipo eneo la Nane nane?
Sijafuatilia kwa ukaribu miradi inayofanyika Dodoma lakini town planners wamefikiria mahitaji ya miaka 100 ijayo(barabara pana,reli,vyuo ,hospitali kubwa).Ingekuwa ni mm ningeshauri Dodoma ya sasa iachwe kama ilivyo halafu tutengeneze mji pembezoni kwake.CBD iwekwe sehemu kama Chamwino pale