SkyscraperCity banner

1 - 20 of 274 Posts

·
Registered
Joined
·
57 Posts
Hivi ishakuwa city?

si bado town au?
Iringa ni mji mzuri sana na una majengo mengi marefu kuliko mbeya... ila kufikia kigezo cha kuwa jiji sio rahisi kwa sasa maana population yao pale mjini ni ndogo sana... nadhani hata Moshi pia inakumbwa na tatizo hilo hilo la population ndogo. Mbeya kuna watu wengi sana pale mjini na shughuli za kimaendeleo ni nyingi mno.
 
1 - 20 of 274 Posts
Top