Skyscraper City Forum banner
1 - 5 of 5 Posts

·
Registered
Joined
·
556 Posts
Discussion Starter · #1 ·
  • Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere kinajengwa wilayani Kibaha kwa ushirikiano wa vyama sita rafiki (ANC, CCM, FRELIMO, MPLA, SWAPO na ZANU-PF) wakiongozwa na Chama Kimkomonisti cha China (CPC).

  • Chuo hicho matarajio yake watapikwa wanasiasa ili kutoa viongozi waliopikwa Kwa uweledi kwa maendeleo ya nchi hizo sita za Afrika zinazounganishwa na CPC pamoja na Chama cha Mapinduzi kwa upande wa Afrika

  • Katika kukamilisha ujenzi wa chuo hicho tayari dola milioni arobaini na tano (45) sawa na shilingi bilioni 100 za kitanzania zimetengwa na fedha hizo ni msaada kutoka kwa rais wa china Xi Jinping.Source: CCM Blog http://ccmchama.blogspot.com/2018/07/rais-dkt-magufuli-aweka-jiwe-la-msingi.html

 
1 - 5 of 5 Posts
Top