good wak bro
No mwanza airport wont be like this for the following reasons,Wow is really going to be like this!!??...
yah its trueIt looks its the final design to one I posted earlier (which seems was a concept design).
Barabara nilizosikia ziko kwenye mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami Ni zifuatazoNaulizia ile Barabara ya Igombe kupitia Busweli ipo kwenye mradi wa barabara zitakazowekwa lami kwenye Bajeti hii ya 2016/17
Mikakati gani tujulishe maana mi naona kama danadana, ilikuwa February sasa imekuwa November na jengo la abiria haliongelewi kabisa ambalo ndio la maana.Kwa mikakati niliyoiona kweli pongez sana kwa rais wetu,now hii kitu iko serious yan kufkia mwez wa sita kutakua na mabadiliko makubwa sana ktk uwanja wa mwanza
Ndivyo hata Mimi nilivyoelewa November inatakiwa control tower iwe tayari, kwa sababu hata jengo la mizigo halitaisha kama hawataongeza pesa bajeti ijayo.Chai nyingine hii
Control tower ndio itakamilika november. Sio jengo la abiria jengo la abiria is another phases plan
Hilo jengo kwa kuangalia ni kubwaPashy usihofu,
Mchoro kama huu sio wa international Airport.....
Tuliupigia kelele since day one wakabadilisha na kuufanya wa kisasa.
Tafuta(Google) image za Mwanza airport utaona huu wa zamani na mpya. Mpya uko poa.
Una urefu wa 250Metres
Upana wa 50Metres
Juu(Width) 30Metres
watakuwa nayo tayari hawajaweka wazi tu, kwa sababu terminal karibu itaanza kujengwa.So kwa sisi layman wa engineering rendering bado kwa uwanja wa mwanza? kwa lugha nyingine tuendelee kusubiri itoke?
anachokisema mbarawa ni kuhusu control tower, kituo cha kupozea umeme, jengo la mizigo, nk ila si jengo la abiria.makame naye akapigilia msumari kuwa inaweza kukamilika ndani ya miezi sita ijao kama m/mungu akijalia. yetu macho ila wange release render tuione maana hamna hata mmoja anayejua sura ya uwanja itavyokuwa mara baada ya kukuamilika. kasema watajenga jengo la abiria kubwa sana. lakini pia ktk mikakati ya wizara ya mwasiliano, uchukuzi na ujensi niliona wizara ina mpango wa kujenga hotel kubwa karibu na viwanja vya ndege vya mwl julius nyerere na mwanza ili kusongeza huduma za malazi ya vyumba n.k kwa wageni.
Jengo lipi limekamilika au unamaanisha control tower?Jengo lishakamilika sikupata nafasi yakupiga picha wanafanya finishing tu,na barabara za kuunganisha airport na control tower washaanza kujenga soon jengo la abiria litaanza kujengwa nawahakikishia