SkyscraperCity banner

221 - 232 of 232 Posts

·
Registered
Joined
·
18 Posts
Hapo nimeshindwa kuelewa hata ndege zina park wapi...au watu wanaletwa na buses....from planes......cant they spend 40mil usd on a good 15,000sqm meter terminal
Ni mwanzo tu, Dar walianza na terminal I, na leo wanatermimal III.
 

·
Registered
Joined
·
697 Posts
The terminal building under construction is not the main one, the government will construct a state of the art passenger terminal with the capacity to handle 3m passengers annually.

For Swahili speakers listen here
 

·
Registered
Joined
·
107 Posts
Hapo sasa nimewaelewa, hako kajengo wanakojenga hapo nilijiuliza sana hivi kweli jengo LA hivi ndio unajenga ukiangalia miaka 10-20 ijayo? Kama wana design LA million 3 hizo ndio akili tunazitaka. Probably wanalojenga kama mkoa litatumika kama VIP in the future .
 
221 - 232 of 232 Posts
Top