SkyscraperCity banner

1 - 10 of 10 Posts

·
Registered
Joined
·
163 Posts
Shida ya Arusha ni hizo nyumba pembeni ya barabara, huwa naona zinachafua mji tu.. mabati yana kutu na nyingine kabisa hazina hadhi ya jiji la Arusha. Unakuta Hoteli nzuri halafu pembeni kuna nyumba ya hovyo kabisa.. angetokea tajiri mmoja au organization zinunuliwe zote kuanzia Tengeru mpaka Mjini kujengwe residential na commercial complexes kuibadilisha Arusha kuwa mji wa Kimataifa.

Inaniuma sana pale ambapo Arusha imekuwa kama kituo cha Bus, watalii wengi huwa wanapita tu hapo wanalala usiku mmoja wanaenda mbugani wanarudi wanalala usiku mmoja wanaondoka, hii yote ni kwa kuwa Arusha haujakaa kabisa kama mji wa kitalii.. hauna attractions ambazo zitamfanya mtu a spend an extra two days hapo..
 
·
EastAfRica
Joined
·
853 Posts
Discussion Starter · #10 ·

Kweli umeongea point bro ..ila mbele ya hiyo mall nadhani hivyo vibanda vyote vitabomolewa jengo likiwa tiyari ili wapate parking etc
 
1 - 10 of 10 Posts
Top