SkyscraperCity banner

641 - 660 of 671 Posts

·
Moderator
Joined
·
2,983 Posts
Phase I is approx. 6 months away, while Phase II is on track because the terrain is quite flat and friendly except for the Gulwe area where they have to construct massive bridges and tunnels...^^

Phase one seems 6-12 months away barring weather/financial delays.
Phase too seems like it'll take another 1-2 years.
 
·
Mikausho Mikali
Joined
·
278 Posts
Natafuta kama kuna uzi wa Tanzania - Intermodal & Rail Development Project humu ndani lakini sijauona.Kwangu naona ni project muhimu sana kwani SGR mapaka ifike Mwanza na Kigoma kwa uchumi wetu naona ni mbali ingawa ikiisha itatusaidia kwa miaka mingi ijazyo
 
·
Moderator
Joined
·
2,983 Posts
Hujaelewaka, unatafuta uzi ili iweje, sijaona connection ya kutafuta uzi na uchumi wetu huu na reli kufika Kigoma na Mwanza...

Hebu tiririka vizor tuelewe...^^

Natafuta kama kuna uzi wa Tanzania - Intermodal & Rail Development Project humu ndani lakini sijauona.Kwangu naona ni project muhimu sana kwani SGR mapaka ifike Mwanza na Kigoma kwa uchumi wetu naona ni mbali ingawa ikiisha itatusaidia kwa miaka mingi ijazyo
 
·
Mikausho Mikali
Joined
·
278 Posts
Uzi ni thread kama hii SGR Railway Dar es salaam-Isaka-Kigali|Keza-Gitega-Musongati Railway Project| U/C . nilidhani somewhere kutakuwa na thread ambayo iko dedicated na project ya TIRP.
 
641 - 660 of 671 Posts
Top