SkyscraperCity banner

1 - 8 of 8 Posts

·
Registered
Joined
·
177 Posts
Hili daraja ni kweli linajengwa, nimefurahi na kusikitika pia. Litatyharibia mji wetu wenye historia ya miaka 400. Inasikitisha sana. Karibu bweni ndogo yote itavunjwa.
 
·
Serengeti
Joined
·
4,227 Posts
Discussion Starter #3
Hili daraja ni kweli linajengwa, nimefurahi na kusikitika pia. Litatyharibia mji wetu wenye historia ya miaka 400. Inasikitisha sana. Karibu bweni ndogo yote itavunjwa.
Sidhani kama litapita katikati ya mji wa kale. Ngoja tuwaulize watu wa Tanroads.
 
·
Registered
Joined
·
106 Posts
Sidhani kama litapita katikati ya mji wa kale. Ngoja tuwaulize watu wa Tanroads.
kama litapita basi washauri ikiwezekana, wali relocate at least km moja upstream ili hapo mahali pahifadhiwe. Maana later on patafunguka kwa ajili ya utalii.
 
·
Serengeti
Joined
·
4,227 Posts
Discussion Starter #6 (Edited)
Exactly!!! Yani pangani ni kama bagamoyo ndogo. When it becomes accessible it might blossom.
Kuna mtaa moja Pangani kama vile upo Stone Town. Wajiandae tu maana lazma Pangani itaamka.

Dar to Tanga via Segera is 331 km
Dar to Tanga via Pangani is 216 km
So Dar to Mombasa will only be 391 km!

Traffic ya Mombasa na Tanga itahamia Pangani for sure.
 
Of course. Chalinze-Segera itapungua sana magari.
 
1 - 8 of 8 Posts
Top