SkyscraperCity banner

1 - 20 of 41 Posts

·
Shrewd
Joined
·
21,139 Posts
Discussion Starter · #7 ·Jengo la gorofa 8 lenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.9 lililojengwa na wakala wa Majengo Tanazania (TBA) Katika eneo la Ada Estate Kinondoni Jijini Dar es salaam ambalo litapangishwa kwa watumishi wa umma mara litakapokamilika mwishoni mwa mwaka huu ikiwa ni moja ya hatua za Serikali kutatua tatizo la makazi kwa watumishi wa umma.
 

·
Shrewd
Joined
·
21,139 Posts
Discussion Starter · #9 ·


Mhandisi Edwin Nnunduma toka wakala wa amajengo Tanzania (TBA) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu lengo la mradi wa nyumba zaidi ya 150 katika eneo la mabwe pande ambapo nyumba hizo zitauzwa kwa watumishi wa umma ikiwa ni sehemu ya mpango wa Serikali kupitia wakala huo kujenga nyumba 10,000. 

·
Stone Town boy
Joined
·
314 Posts
MIUNDO MBINU ZERO

Miundo mbinu sasa kuzunguka hizo nyumba inatakiwa mtaa uwe full planned sio unatoka nje unaingia kwenye dimbwi!
 

·
Registered
Joined
·
2,069 PostsMoja ya jengo la kisasa lenye gorofa 4 lililopo Mbezi Beach Dar es salam litakalopangishwa kwa watumishi wa Umma, jengo hilo liko katika hatua za mwisho kabla kuanza kupangishwa ili kupunguza tatizo la makazi kwa watumishi hao.
This is Nice! Any new construction?
 

·
Serengeti
Joined
·
4,250 Posts
Thanks BenjaminEli,

can you show google earth image of its location in Bunju?
 

·
Shrewd
Joined
·
21,139 Posts
Discussion Starter · #16 ·

·
Registered
Joined
·
2,069 Posts
Updates? Since NHC dominates, any new Real Estate Projects coming out of Tanzania Building Agency.
 
1 - 20 of 41 Posts
Top