Skyscraper City Forum banner
1 - 20 of 42 Posts

·
Shrewd
Joined
·
21,840 Posts
Discussion Starter · #1 ·Mchoro wa namna litakavyokuwa jengo la Eco Residence litakaloanza kujengwa katika kitalu namba 67 kwenye makutano ya mitaa ya Ngano na Wakulima, Dar es Salaam litakapokamilika litakuwa na ghorofa 16, sehemu za makazi 118 na kuwa makazi ya watu zaidi ya 840 wakati kabla lilikuwa makazi ya familia moja.​

 

·
Registered
Joined
·
2,069 Posts
The value of land around this place has increased. If the people have land title showing ownership, It should be worth a lot. These Real Estate development and Investments are helping increase the value of land in Dar es salaam. Even the value of land, where people are living in slums it has probably gone up. The value of Tanzania's Real Estate market is larger than its GDP already.
 
1 - 20 of 42 Posts
Top